Kenyan IT students develops communication app that uses no data

So should we congratulate any kenyan or african for that matter for mudane things like knowing how to cook tea? Shouting loud about such silly things exposes your lack of knowledge on technology. Sifa za kijinga
But you praise all that is Tanzanian and Magu-FOOL-i... hahahaha namwona hapa Cyber cafe dodoma
 
Wakenya ni wazuri kwenye marketing na uzalendo. Hii habari ilivyoandikwa utajua ni kitu kigeni na cha ajabu sana.
Sibezi wala kukatisha tamaa hatua za huyu mwanafunzi, lakini changamoto za umbali zinafanya watumiaji wengi wasichague hii app kama suluhisho kwa mawasiliano kwa kuwa watu watakaotaka kuwasiliana nao sio wote watakua kwenye eneo moja.

Ni hatua nzuri kwa sababu akiendelea hivi huenda akaja kugundua kitu chenye manufaa makubwa zaidi na tija itakayogusa maisha ya watu wengi kwa namna moja ama nyingine. Nafikiria sio sawa kupuuza juhudi na mchango wa huyu kijana hata kama ni wa kiwango kidongo lakini unafungua milango ya vitu vikubwa siku za usoni.
 
Dah! Ubarikiwe sana kaka, madogo wanahitaji comments kama hizi maana zinajenga, zinawapa hamasa, zinawafanya wakeshe usiku na mchana wakiwaza na kuwazua jinsi ya kutoka kimaisha kwa kutumia ubunifu na bidii. Mimi huwa nafanya mentoring kwa vijana haswa walio kwenye process za start ups, na huwa naona jinsi wanahamasika kila nikiwapa big up.
 
Kitendo cha iyo app kutegeme Bluetooth kitakwamisha kukua kwa iyo app. kwasababu Bluetooth inacover eneo dogo alaf ni technology ya nje
 
Unaweza ukatengeneza app iwe inatumia mifumo mingi kulingana na mazingira, hii hapa inaweza kutafuta uwepo wa bluetooth kama default, sasa ikikosa ndio ijaribu kutumia teknolojia nyinginezo zilizopo. Sio kwamba imefungiwa kwenye bluetooth, bila shaka anaweza akaendeleza iwe na uwezo wa kujaribisha mifumo mingine.

Ni kama zile device za tracking, ambazo nimefanya nazo kazi sana kwenye mifumo yangu, kifaa kinaunga kwenye GPRS ili kutuma bytes kwa TCP/IP, kikikosa GPRS kinaelekeza kwenye satellite na pia kinakua na uwezo wa kutumia SMS encoding kama kikikosa GPRS kabisa.
 
But you praise all that is Tanzanian and Magu-FOOL-i... hahahaha namwona hapa Cyber cafe dodoma
Magufuli does not need PR to earn any respect or praise, He is single handedly killing corruption, building infrastructure and growing the economy by 7%
 
Unaweza ukatengeneza app iwe inatumia mifumo mingi kulingana na mazingira, hii hapa inaweza kutafuta uwepo wa bluetooth kama default, sasa ikikosa ndio ijaribu kutumia teknolojia nyinginezo zilizopo. Sio kwamba imefungiwa kwenye bluetooth, bila shaka anaweza akaendeleza iwe na uwezo wa kujaribisha mifumo mingine.

Ni kama zile device za tracking, ambazo nimefanya nazo kazi sana kwenye mifumo yangu, kifaa kinaunga kwenye GPRS ili kutuma bytes kwa TCP/IP, kikikosa GPRS kinaelekeza kwenye satellite na pia kinakua na uwezo wa kutumia SMS encoding kama kikikosa GPRS kabisa.
And here we finally see the problem with you. Your lack of grasp for finance and economics is because you are an IT technician. Jubilee mediocrity
 
Unaweza ukatengeneza app iwe inatumia mifumo mingi kulingana na mazingira, hii hapa inaweza kutafuta uwepo wa bluetooth kama default, sasa ikikosa ndio ijaribu kutumia teknolojia nyinginezo zilizopo. Sio kwamba imefungiwa kwenye bluetooth, bila shaka anaweza akaendeleza iwe na uwezo wa kujaribisha mifumo mingine.

Ni kama zile device za tracking, ambazo nimefanya nazo kazi sana kwenye mifumo yangu, kifaa kinaunga kwenye GPRS ili kutuma bytes kwa TCP/IP, kikikosa GPRS kinaelekeza kwenye satellite na pia kinakua na uwezo wa kutumia SMS encoding kama kikikosa GPRS kabisa.
Ni kwel inawezekan ila bado atarud kwenye cellular network ambozo zina cover large area ila kumbuka yeye anataka kukwepa cost ya data je itawezekan ?
 
Anaweza akapunguza cost za data pakubwa, kwa mfano app yenyewe inaweza ikatumika kwenye mazingira ya chuo au hata maofisini. Yaani mkiwa kwenye mazingira ya chuo app inatumia bluetooth na wifi bila kutegemea internet, mnatumiana files, video na mengine kiwemo hata kufanya video conferencing.
Sio kwamba anakata matumizi ya internet kabisa, lakini app itakua inatumia internet pale inakosa connections za ndani.

Huyu dogo akipata mtu wa kumuelekeza anaweza akafaulu pakubwa.

Kwanza hapo amenipa ideas tayari maana kuna app nilitengeneza inafanya kazi kwa shirika fulani, imekua ikitumia internet hata kwa shughuli za baina ya staffs, maana sera za hilo shirika ni kwamba tablets haziruhusiwi kuunga kwenye LAN ambapo nilitaka kutumia USB to Ethernet cable.
Sasa hapa nimepata wazo la kuwezesha shughuli bila kutegemea internet. Inawezekana nikamfuata nijadili naye fursa.
 
Great, re-invent the wheel and call international media to cover your breakthrough technology. Shame!!
 
Anaweza akapunguza cost za data pakubwa, kwa mfano app yenyewe inaweza ikatumika kwenye mazingira ya chuo au hata maofisini. Yaani mkiwa kwenye mazingira ya chuo app inatumia bluetooth na wifi bila kutegemea internet, mnatumiana files, video na mengine kiwemo hata kufanya video conferencing.
Sio kwamba anakata matumizi ya internet kabisa, lakini app itakua inatumia internet pale inakosa connections za ndani.

Huyu dogo akipata mtu wa kumuelekeza anaweza akafaulu pakubwa.

Kwanza hapo amenipa ideas tayari maana kuna app nilitengeneza inafanya kazi kwa shirika fulani, imekua ikitumia internet hata kwa shughuli za baina ya staffs, maana sera za hilo shirika ni kwamba tablets haziruhusiwi kuunga kwenye LAN ambapo nilitaka kutumia USB to Ethernet cable.
Sasa hapa nimepata wazo la kuwezesha shughuli bila kutegemea internet. Inawezekana nikamfuata nijadili naye fursa.
Unajua kujenga network kama ya wireless fidelity ( wifi) ni gharama sana kumbuka iyo network imeanzia kwny kwny wired ndo inakuja kwenye cellular network ambayo ni wireless ukiangalia apo iyo app lazima itarud kutumia network ya (ISP) ambayo ina cost pia kuna app nyingi kama izo zinatumia iyo wireless .
 
Anaweza akapunguza cost za data pakubwa, kwa mfano app yenyewe inaweza ikatumika kwenye mazingira ya chuo au hata maofisini. Yaani mkiwa kwenye mazingira ya chuo app inatumia bluetooth na wifi bila kutegemea internet, mnatumiana files, video na mengine kiwemo hata kufanya video conferencing.
Sio kwamba anakata matumizi ya internet kabisa, lakini app itakua inatumia internet pale inakosa connections za ndani.

Huyu dogo akipata mtu wa kumuelekeza anaweza akafaulu pakubwa.

Kwanza hapo amenipa ideas tayari maana kuna app nilitengeneza inafanya kazi kwa shirika fulani, imekua ikitumia internet hata kwa shughuli za baina ya staffs, maana sera za hilo shirika ni kwamba tablets haziruhusiwi kuunga kwenye LAN ambapo nilitaka kutumia USB to Ethernet cable.
Sasa hapa nimepata wazo la kuwezesha shughuli bila kutegemea internet. Inawezekana nikamfuata nijadili naye fursa.
Kwenye wireless kupitia hotspot inawezekana japo bado nahis bado covered ya bado ni ndogo.ila kwa mazingira ya ofisi ,nyumban,kwenye magari inawezekan .ila ni mwanzo mzuri tukipata hizi idea tunaweza fika mbali na sisi tukawa na network yetu kubwa
 
Back
Top Bottom