BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Stephen Ole Letoo Ako sawa sana kwanza anatumia both English and Swahili vizuri sanai hope mwakani watu kama steven letoo na sam githuku na wao watapewa hiyo tuzo bila kumsahau Mark masai
Hussein and Janet mbugua were the best .hata lulu na kanze japo kanze alipewa kazi na raisStephen Ole Letoo Ako sawa sana kwanza anatumia both English and Swahili vizuri sana
Kuna Jela 5 star na Hullabaloo estate vimenikamata mtzWow!tanzanians have really responded maturely. Sioni ubishi wowote. Niliona pale YouTube kuna watz wanaotazama habari za channel mbalimbali kama ktn na k24. Pia Churchill show na vioja mahakamani
Huwa mnatazama maisha magic East?Kuna Jela 5 star na Hullabaloo estate vimenikamata mtz
Nimejaribu sana kuwachokoza lakini wapi. [emoji1] Umenikumbusha za Kanze dena, kuanzia kwa screen za CitizenTv hadi kwenye ikulu, kama msemaji wa ikulu na bosi wa P.S.C.U. Kweli kazi ni kazi.Wow!tanzanians have really responded maturely. Sioni ubishi wowote. Niliona pale YouTube kuna watz wanaotazama habari za channel mbalimbali kama ktn na k24. Pia Churchill show na vioja mahakamani
Hapa wamepigwa bao. Walisema wakenya hawajui chochote.wakisema Kenya hatujui mziki nasi tunawaambia hawajui komedi. Hata kuigiza wanajilazimisha tu.Nimejaribu kuwachokoza lakini wapi. [emoji1] Umenikumbusha za Kanze dena, kuanzia kwa screen za Tv hadi kwenye ikulu kama boss wa PSCU. Kweli kazi ni kazi.
Nilikuwa nadhani wabongo wanafuatilia mambo mabaya tu ya Kenya ili kuja kuyaanika hapa. Kumbe kuna asilimia 0.01 ambao ni tofauti na wenginekuna hii couple ya janet mbugua na eddy ndichu huwa wana ni inspire sana wako kama mapacha vile
Nilikuwa nadhani wabongo wanafuatilia mambo mabaya tu ya Kenya ili kuja kuyaanika hapa. Kumbe kuna asilimia 0.01 ambao ni tofauti na wengine
Kweli? Huoni jinsi mnavyonitukana hapa kwa sababu hamuamini mimi si mwanaume. Nimegundua nyie watanzania mna ubaguzi wa kijinsia. Mwanamke anaweza changia maoni yake hapa vizuri hata kuliko mwanaume. Is jf limited to men only and women are not allowed here?shida ni watu humu tunaaambiana ukweli ila kuna muda kila mahali kuna mazuri
but wakenya huwa wanajifanya wako kwenye dunia yao
Kweli? Huoni jinsi mnavyonitukana hapa kwa sababu hamuamini mimi si mwanaume. Nimegundua nyie watanzania mna ubaguzi wa kijinsia. Mwanamke anaweza changia maoni yake hapa vizuri hata kuliko mwanaume. Is jf limited to men only and women are not allowed here?
Endelea kunicheka tu ila uambie mwenzako kadoda11 anikome kabisahahahahaha pole sana