Kenyan journalist wins 2018 BBC World News Komla Dumor Award

Wow!tanzanians have really responded maturely. Sioni ubishi wowote. Niliona pale YouTube kuna watz wanaotazama habari za channel mbalimbali kama ktn na k24. Pia Churchill show na vioja mahakamani
 
kuna hii couple ya janet mbugua na eddy ndichu huwa wana ni inspire sana wako kama mapacha vile
 
Wow!tanzanians have really responded maturely. Sioni ubishi wowote. Niliona pale YouTube kuna watz wanaotazama habari za channel mbalimbali kama ktn na k24. Pia Churchill show na vioja mahakamani
Nimejaribu sana kuwachokoza lakini wapi. [emoji1] Umenikumbusha za Kanze dena, kuanzia kwa screen za CitizenTv hadi kwenye ikulu, kama msemaji wa ikulu na bosi wa P.S.C.U. Kweli kazi ni kazi.
kanze.dena3_.jpg
 
Nimejaribu kuwachokoza lakini wapi. [emoji1] Umenikumbusha za Kanze dena, kuanzia kwa screen za Tv hadi kwenye ikulu kama boss wa PSCU. Kweli kazi ni kazi.
kanze.dena3-.jpg
Hapa wamepigwa bao. Walisema wakenya hawajui chochote.wakisema Kenya hatujui mziki nasi tunawaambia hawajui komedi. Hata kuigiza wanajilazimisha tu.
 
Nilikuwa nadhani wabongo wanafuatilia mambo mabaya tu ya Kenya ili kuja kuyaanika hapa. Kumbe kuna asilimia 0.01 ambao ni tofauti na wengine

shida ni watu humu tunaaambiana ukweli ila kuna muda kila mahali kuna mazuri

but wakenya huwa wanajifanya wako kwenye dunia yao
 
Kweli? Huoni jinsi mnavyonitukana hapa kwa sababu hamuamini mimi si mwanaume. Nimegundua nyie watanzania mna ubaguzi wa kijinsia. Mwanamke anaweza changia maoni yake hapa vizuri hata kuliko mwanaume. Is jf limited to men only and women are not allowed here?
 
hahahahaha pole sana
 
Back
Top Bottom