hivi hizo akili mnazipata wapi???za kutoaMini kuwa hakuna MUNGU,ndio maana wanaume mnaolewa kwa kutokuwa na hofu ya MUNGU.?????ni ujinga uliopitiliza,sijui ndo maadili kushuka,sijui munaona sifa???????BILA SHAKA NDOKAZ ZA IBILISI HIZO
ila mujue kuwa kutokuamini kwenu hakumpunguzii MUNGU kitu,ila ni machukizo mbele zake.zaidi unayowaza leo na kufanya leo ndo unaandaa njia yako ya kesho na utakapokuwepo kesho,.inashangaza kuona mtu anawaza kuwa hakuna Mungu,.ni ujinga na ujinga uliokithiri,..hii dunia na vyote vilivyomo MUNGU ndo muumba Wake,so kama huamini endelea kuamini ila MUNGU yupo,na ataendelea kuwepo milele na milele,huo uzima unaokupa jeuri unamwisho..jifarijini na mawazo yenu potofu