Kenyan media houses against Tanzania

Hiyo TV ina baraka zote za serikali ya Kenya, ama la, serikali ya Kenya ingewawajibisha.
Serikali haiwezi kuwajibisha media kwa trivials. Lazima watapigwa chini mahakamani. Doctrine of separation of power.
 
Waambie basi mamlaka za Tz zitoe habari, wengine wanataka kuandika zenu ila hamtoi sasa, inabidi kinachopatikana ndo kiandikwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari hutolewa kwa mujibu na taratibu za nchi husika sio kwa vile upendavyo wewe, hadi sasa Tanzania imeripoti visa 480 na vifo 16, hizo taarifa kazitoa nani kama sio Serikali?, wacha kulazimisha mambo yafanyike kama upendavyo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CC: Tony254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…