Kenyan Men Are Renting Their Wives To Tourists

Asee.. Hi Sasa ndo mother of all poverty!
 
Kuna mmoja alikuwa analalamika, amemkodisha mke wake kwa mzungu alafu mkewe akanogewa kwa mzungu akamtema jamaa moja kwa moja 😂😂😂
 
Bora kumuuza mke wako kwa muda kuliko kujiuza wewe mwenyewe mwanaume
 
Kuna mmoja alikuwa analalamika, amemkodisha mke wake kwa mzungu alafu mkewe akanogewa kwa mzungu akamtema jamaa moja kwa moja 😂😂😂

Duu hapo ni noma. Utakuta wamekutoroka huwaoni tena.
 
Back
Top Bottom