Kenyan Men Are Renting Their Wives To Tourists

Asee.. Hi Sasa ndo mother of all poverty!
 
Kuna mmoja alikuwa analalamika, amemkodisha mke wake kwa mzungu alafu mkewe akanogewa kwa mzungu akamtema jamaa moja kwa moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora kumuuza mke wako kwa muda kuliko kujiuza wewe mwenyewe mwanaume
 
Kuna mmoja alikuwa analalamika, amemkodisha mke wake kwa mzungu alafu mkewe akanogewa kwa mzungu akamtema jamaa moja kwa moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Duu hapo ni noma. Utakuta wamekutoroka huwaoni tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…