Kenyan mmetia aibu

Kimsingi jamaa yuko sahihi kwa asilimia 50 na zingine 50 hayuko sahihi.
Tukianzia na kujua ni akina nani wanawasaidia hawa magaidi kufanya uhalifu utagundua ni waafrika wenyewe sasa kwa hali hiyo unategemea wewe mwaafrika uthaminiwe vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…