Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Uchumi upi huo umeshindwa kujitutumua mbele ya coronavirus mpaka mkaenda mbio kukopa IMF for Rapid credit facility?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi upi huo umeshindwa kujitutumua mbele ya coronavirus mpaka mkaenda mbio kukopa IMF for Rapid credit facility?
KabisaHakao kanchi ni kakuonea huruma tu.
Msee.. Kwani KDF imeshamalizana na alshabab?Hawa mapolis wanahongwa na kutuweka hatarini, KDF wahusishwe na kuweka sawa, hakuna kuingia bila kupimwa.
Sijui watu wana njaa gàni hii hadi wanalazimisha kuingia nchi ya watu.
Deni lenu ni 68% ya pato jumla la taifa! Ndio uchumi imara huo?Nchi yako asilimia 60% ya bajeti ni ufadhili wa mabeberu....Kenya ina uchumi mkubwa kuliko wako kijana jitahidi kutumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lofa hiyo nchi kwa sasa inaendelea kuzama, hujajishtukia?
Nmesema deni lenu ni 68% ya pato la taifa! Je huo ndio uchumi imara?Hujajibu swali wa kijana mbichi yaani unaulizwa hichi unajibu kile
Sent using Jamii Forums mobile app
GSU wale wezi wa biscuits pale westgate?Watume pia Recce squad ya GSU kwenye mpaka wa Tanzania.
leta evidence tuliomba! At moody credit worthyness tier B1 we r above Kunyaland there is no way we would have been given!
Ulisikia kasema tutafungua boader halafu tuwaruhusu madereva wapite bila ya kupima sio[emoji23][emoji23]
Ulizia madeni ya aliko dangote kwanza before ukurupukeUnaujua uchumi wewe
Uchumi gani huwezi fanya lolote bila kukopa
Usisahau km kenya imeshawai kuwapea tanzania msaada lkn nynyi na misifa yote hamajaleta hata shilingi kumi[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tutapigana vita kwa kuwatumia wakenya wenyewe.. Kasheshe limeshaanza.
Bwahaha!!imekuingia hyo jomba, nikutajie billionaire mwngine anayekopa[emoji23][emoji23]Aliko Dangote anaudugu na Mjombako?
What implications? Apart from crying what can Tanzania do to kenya?Hahah unajua implication yake sio? Msijiongezee mabalaa! 😀 😀 😀
Hebu kagoogle hawa ni wajamaa wagani kabla hujafungua kichwa chako.GSU wale wezi wa biscuits pale westgate?