Kenyan MP has asked KDF to man Tanzania-Kenya border

Utakua hujaelewa vizur nenda kamsikilize tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba nini, kasema hamtapimwa na Kenya imelegeza hivyo Watanzania ruksa kuleta corona?
Hebu nielimishe nifahamu kama mumeruhusiwa mje mtakavyo, mengine hayo ya pumba za kuitana ndugu hayahusu chochote, huu ni muda hatari sana sio wakati wa kuchekeana, hata Ulaya UK na USA hawaonani kindugu tena.
 
Watume pia Recce squad ya GSU kwenye mpaka wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…