Kenyan MP has asked KDF to man Tanzania-Kenya border

MY TAKE
Lets see how this will go, pretty sure Tanzania will do the same if KDF is deployed at the border as that means to provoke a neighbor according to International laws!
Kenyan jets to fly over Dar es sluum just to add insult to injury 😉
 
Better this small country,, yenye iko na viongozi wamesoma kuliko taifa hiyo kubwa ambayo inaongozwa na watu wenye hawajui kuongea lugha ingine. 😂 😂 😂 😂 😂
 
These bellicose statements will plunge Kenyans into and endless abyss.
 
Better this small country,, yenye iko na viongozi wamesoma kuliko taifa hiyo kubwa ambayo inaongozwa na watu wenye hawajui kuongea lugha ingine. 😂 😂 😂 😂 😂
Our president has a PhD in chemistry what about yours who is an alcoholic
 
Msaada wa kitu gani vp umemuona balozi wenu leo amepiga magoti pale jana niliwaambia tunawapa wiki mtakuja mmefyata mkia
Unjaisahaulisha sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Kwhyo kapiga magoti mpakwa umefungulia na wala hamtopimwa tena sio[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unjaisahaulisha sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Kwhyo kapiga magoti mpakwa umefungulia na wala hamtopimwa tena sio[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni aibu sana, vile mlivyokuwa majigamba humu eti tutakoma,sasa Rais wenu kaomba msamaha kwa jiwe,nyinyi ni mdebwedo sana
 
Ila ni aibu sana, vile mlivyokuwa majigamba humu eti tutakoma,sasa Rais wenu kaomba msamaha kwa jiwe,nyinyi ni mdebwedo sana
Na bado tunaendelea kuwakazia hadi mwezi upite Kenya saizi bidhaa zimeishaanza kupanda bei
 
Ila ni aibu sana, vile mlivyokuwa majigamba humu eti tutakoma,sasa Rais wenu kaomba msamaha kwa jiwe,nyinyi ni mdebwedo sana
Jisomee hapo chini km unaelewa kingereza lkn..
Inayoenyesha kabisa uhuru alipiga simu wakaongelea ishu ya corona, halafu hyo ya pili jiwe kaona haya kusema km alipiga simu na wakaongelea ishu za mipakani na akaamua kuwatuma wawakilishi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…