Kenyan MP has asked KDF to man Tanzania-Kenya border

MY TAKE
Lets see how this will go, pretty sure Tanzania will do the same if KDF is deployed at the border as that means to provoke a neighbor according to International laws!

We in Tz, we are also on guard. Dont be mistaken.
 
Tz can not diploy soldiers jst bcoz kunyaland did, I highly doubt that but am perfectly sure Tz will display FFU police special force. FYI

MY TAKE
Lets see how this will go, pretty sure Tanzania will do the same if KDF is deployed at the border as that means to provoke a neighbor according to International laws!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha! Jana nimepitia media zenu zilikuwa zimebadilisha story kabisa ili kukwepa aibu,Jiwe alisema Uhuru ndio alimpigia akiwa Chato ili wazungumze kuhusu swala la.mpaka, kama unabisha weka clip tuone alichosema jana.mnaona aibu,the bitter truth is that,Uhuru blinked first!
 
Bwahahaa, wabadilishe kwa faida ya gan[emoji23][emoji23]
Jamaa aliaema poa, alimoigia wakaongelea ishu ya corona "halafu leo pia nimeongea naye"[emoji382][emoji382][emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe hivi mbona mnalazimisha ionekane isivyo, balozi wetu ametolea maelezo ya kwanini haturuhusu yeyote kuingia bila kupimwa, hivyo lazima mpimwe haingii mtu hapa, acheni njaa zenu. Hata mlie lie vipi, kila mtu lazima apimwe.
Hako ka nnchi ni cha kuuza tu
 
Nchi iliyoshindwa kuishinda njaa haiwezi kushinda vita ya siraha. Wakenya jitafakarini mnachokitamani kinaweza kuwatokea puani
 
Better this small country,, yenye iko na viongozi wamesoma kuliko taifa hiyo kubwa ambayo inaongozwa na watu wenye hawajui kuongea lugha ingine. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hahahaha
Yenye iko....
Taifa hiyo.....
Wenye hawajui....
Lugha ingine....

Duh
Yaani hata Kiswahili ni shida...hahaha
 
Better this small country,, yenye iko na viongozi wamesoma kuliko taifa hiyo kubwa ambayo inaongozwa na watu wenye hawajui kuongea lugha ingine. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hii lugha gani sasa umeandika hapa?We unawashangaa wasiojua kiingereza hujishangai wewe kutokujua kiswahili? Wakenya hamuachi kuishangaza dunia
 
Hii lugha gani sasa umeandika hapa?We unawashangaa wasiojua kiingereza hujishangai wewe kutokujua kiswahili? Wakenya hamuachi kuishangaza dunia
Hahahaha
Yenye iko....
Taifa hiyo.....
Wenye hawajui....
Lugha ingine....

Duh
Yaani hata Kiswahili ni shida...hahaha
Kama umeunderstand what I have written there, why are you complaining? Mother tongue yangu sio Swahili kama nyinyi.
 
poor english.
But English is not our mother tongue...why do you laugh at us?!?

lugha yenyewe ilikuja na mzungu but ni lazima sisi wote tujifunze lugha yao kiasi ndiyo tuweze kuongeleshana na kuelewane na wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…