Whats so special in listening to a guy from Kenya copying Jamaicans? The so called international listeners look for something unique from outside artists not something they already have at home ndo maana hamtakaa mtoboe kazi kuiga iga tu fanyeni vitu kwa style yenu ili mvutie watu international.
Unajua kuna mada nyingine hawa watu wana zileta kujifurahisha au ni upumbavu wao tu!!
Yaani ulinganishe music wa Tanzania na upumbavu upumbavu !!!
International !!
Hao wasanii anao waseme yeye
ukiingia Youtube utacheka!!
Yaani Vws za aibu wimbo unamwaka mzima!!
Tye tye
Hiyo ngoma miaka 3
vws 1.7ml!!!
Huyo ni Mwanamuziki mkubwa na mkongwe kenya!!!
Njoo kwa kijana wa jana tu
huyu ni dogo tu Hapa Bongo
cheki kitu cha mwaka jana
Mie nawashauri warudi huku tu
hahaha huu ndio utambulisho wa muziki wa kenya!!
Wamejifanya kusahau na kupotezea kazi wanayo!!
Mbona hawajui kucheza
mpangilio wa mavazi hovyo
hehehe!!
Hebu jaribu kuona aibuSasa hivi Diamond hizo ngoma zake za kukurupuka unadhani zitamfikisha wapi?? Yeye na kina TID ni kitu moja, wanaotamba kwa mda mfupi!!
Kenya Music wameshift, wako kwenye easy listening, music of the world, sisi Kenya kwenye club tunasikiza Bongo, kwenye ustaarabu tunasikiza Kenyan Music kwa mtindo kina Elani, Mayonde Raj nk music for the world
Hapo sina lakuongezaMbona hawajui kucheza
mpangilio wa mavazi hovyo
hehehe!!
Hebu jaribu kuona aibu
Tanzania kimusiki si level ya kenya
unatia huruma kijana wewe!!
Bongo ina aina nyingi za muziki
Hatuna Diamond pekee
Cheki hii
Kisha njoo utulize Moyo na Kitu hii
Siyo bure unamgando kidogo!!Msanii wa Bongo ambaye pekee yake ana mitindo ya ngoma za kimataifa ni Venessa Mdee, na hivi ujue sababu huyu ameishi Kenya kwa wingi akaelewa maana ya miziki ya kimataifa
Kidogo waoLabda sauti sol Kidogo
Hawawezi, unajua huwa wanaona music yao inasikizwa sana Kenya wanadhani sasa hiyo ndo kuwa internatiional.
Kama ni Diamond, yeye huforce indexing ya songs zake kwenye Youtube, yaani ukisearch song yoyote hata iwe ya Culture utaona kwenye list hiyo wimbo wa Diamond, waswahili husema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Diamond songs zake ni pop songs ambazo after years hakuna mwenye atazikumbuka tena, wako wapi kina TID, Mangwea, Temba, but songs done by E-sir from Kenya are still being listened to today, not only in Kenya but even in Countries like UK and USA
Siyo bure unamgando kidogo!!
Najua umetapika hivyo kwasababu ya lugha tu
Bongo inakila aina ya wasanii
nakama English ndio sababu
mziki wenu ungelikuwa juu sana
tatizo kenya hakuna wasanii vipaji vya muziki ni ZERO
Kenya mbio tu!!
Vipaji Ni vingi Bongo
wasanii ni wengi mno
Dada zuwenna muonee huruma mtoto wa mwenzio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu jaribu kuona aibu
Tanzania kimusiki si level ya kenya
unatia huruma kijana wewe!!
Bongo ina aina nyingi za muziki
Hatuna Diamond pekee
Cheki hii
Kisha njoo utulize Moyo na Kitu hii
Dada zuwenna muonee huruma mtoto wa mwenzio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu jaribu kuona aibu
Tanzania kimusiki si level ya kenya
unatia huruma kijana wewe!!
Bongo ina aina nyingi za muziki
Hatuna Diamond pekee
Cheki hii
Kisha njoo utulize Moyo na Kitu hii
Thats true man Khaligraph J Is NEXT LEVEL no One in East to overtake!!Nasema, hizi song za huyu dem safi, Za diamond, safi, na wengine tangu kina Juma nature, ila hujaelewa mada hapa, hizi nyimbo bongo flavor fit sana Africa Mashariki hata Kenya ni mafans sana, ila hizi nyimbo sio international. Sasa we unafikiri hii nyimbo inaqualify kwa international genres???
Ndio maana nilisema, Tanzania mnaimba nyimbo for East Africa, Kenya we sing for the world. Our Music can be listened to by any person anywhere in the world. As it has the international feel.
Listen to this, You can't tell if the singer was from USA or Europe or Africa, the genre is Rap/Hiphop that can be played world over.
Listen to the English Rap and rhyme
If you want to believe what am saying, look at this video of guys from the UK reacting to the song, the guys says, "They sound American" and they appreciate the rap
kama ni kuiga mbona pia diamond huhusisha wazungu kwenye video zakeWhats so special in listening to a guy from Kenya copying Jamaicans? The so called international listeners look for something unique from outside artists not something they already have at home ndo maana hamtakaa mtoboe kazi kuiga iga tu fanyeni vitu kwa style yenu ili mvutie watu international.