Kenyan Music

Kenyan Music

Kenya is known to target international Markets in its products, Music industry in Kenya has not also been left out, as many African artists, focus on African Music genres, Kenyan upcoming musicians are focusing international music genres. They believe with this kind of music, they can capture audience in any given part of the world

The video below shows such an example, Raj an upcoming musician has R&B traits of any internationaly known musician. Listen out.

True
Like the Kenyan rock scene is really growing. We have one of the best rock scenes in Africa btw
 
wakenya jifunzeni kutoka bongo saizi mmefulia sana bongo music industry iko Big na ilalipa zaidi

Komaeeni na Gospel ndio itawatoa
Our local artists aint doing that good. But musiki ni seasonal, one time kuna Kenya, next time kuna Tanzania, etc
 
Diamond anawahuzisha wazungu kwa nyimbo za kiafrika, anaforce eti apate mafans kwa wazungu!!!
Sio lazima, Kenya tunachapa kama za kwao wenyewe and they like it
And you are proud of being slave hamjui kwamba hauwezi kuwa Mzungu kuliko Mzungu mwenyewe.

Tanzania tunajivunia uafrika wetu na tunafanya vitu on our own identity uniqueness traditions and flavor ndio mana we are winning kila siku kuvutia international audience to get something glamorous.
 
Not true at all. Maybe Nigerian or South African, but apart from Diamond Platinumz, Alikiba and such prominent Tanzania artistes, Kenyans do not know the majority of the Tanzanian musicians. No, your music does not dominate our airwaves, get that fallacy out your mind.
nyie wenyewe mlikua mnadiscus kwenye media zenu kua TZ hapa east Africa mziki wa bongo unapigwa zaidi kwenya kuliko nchi zingine

karibu Bongo flava boss
 
nyie wenyewe mlikua mnadiscus kwenye media zenu kua TZ hapa east Africa mziki wa bongo unapigwa zaidi kwenya kuliko nchi zingine

karibu Bongo flava boss
Inadepend na Radio station Kaka. Kuna some stations huwezi skia Bongo flava.
 
Our local artists aint doing that good. But musiki ni seasonal, one time kuna Kenya, next time kuna Tanzania, etc
yahh hapo umeongea vizuri boss nakumbuka enzi za necessary noise Carif music na genge enzi za akina clepto mlikua juu sana then wakaja uganda then this time is ours

the world is a circle
 
Hivi kwann nyinyi wakenya kila kitu lazima mnataka kujifananisha na bongo land. Mmeshindwa kwenye battle la Dar es salaam vs Nairobi bado tu, sasa kwa taarifa yenu nyinyi mziki hamjui.Eti kuna boya mmoja humu anasema Kenyan music its for worldwide while Bongoflava for East Africa are you mad? Kenyan music have poor flavour which lead to lack air time in many radio stations in other African countries even in Tanzania I doesnt hear Kenyan songs in our local radio stations. Kwa kifupi mziki wenu haukubaliki ndio maana victoria kimani akaamua aende zake chocolate city.
Nataka niwaambie tu mziki wenu wakenya in mbovu alafu eti MTU anakuambia international/ hivi huyu jamaa ana akili kweli?
 
Mi mwenyewe nashangaa halafu ukiwaambia ukweli unaonekana unachuki ukweli mchungu kwakweli
 
Kenya namsikiliza Kaligraph Jones, huyu jamaa akipata management inayojua soko la muziki atafika mbali sana.

Wengine ni Nyashiski na Wyre.
 
Back
Top Bottom