You can search and download Kenyan songs here BONGOMP3.XTGEM.COM: Search and Download Free MusicAnd all othe Kenyan mp3 songs and videos are available at http://bongoflavamp3.com/Pages/Kenyan-mp3-songs-2017 Download them free
Those guys are busy on fire now performing some hits to local Israeli people not diaspora. They called aim world tour.Unadhani Mzungu ama mtu amabye si kutoka East Afrika atasikiza hizo songs?? Kamatia chini nzuri sana East Afrika lakini haiwezi ingi intrenational Audience!!!
Sina mb zakuchezeaYou can search and download Kenyan songs here BONGOMP3.XTGEM.COM: Search and Download Free Music
TrueKenya is known to target international Markets in its products, Music industry in Kenya has not also been left out, as many African artists, focus on African Music genres, Kenyan upcoming musicians are focusing international music genres. They believe with this kind of music, they can capture audience in any given part of the world
The video below shows such an example, Raj an upcoming musician has R&B traits of any internationaly known musician. Listen out.
Our local artists aint doing that good. But musiki ni seasonal, one time kuna Kenya, next time kuna Tanzania, etcwakenya jifunzeni kutoka bongo saizi mmefulia sana bongo music industry iko Big na ilalipa zaidi
Komaeeni na Gospel ndio itawatoa
And you are proud of being slave hamjui kwamba hauwezi kuwa Mzungu kuliko Mzungu mwenyewe.Diamond anawahuzisha wazungu kwa nyimbo za kiafrika, anaforce eti apate mafans kwa wazungu!!!
Sio lazima, Kenya tunachapa kama za kwao wenyewe and they like it
nyie wenyewe mlikua mnadiscus kwenye media zenu kua TZ hapa east Africa mziki wa bongo unapigwa zaidi kwenya kuliko nchi zingineNot true at all. Maybe Nigerian or South African, but apart from Diamond Platinumz, Alikiba and such prominent Tanzania artistes, Kenyans do not know the majority of the Tanzanian musicians. No, your music does not dominate our airwaves, get that fallacy out your mind.
Inadepend na Radio station Kaka. Kuna some stations huwezi skia Bongo flava.nyie wenyewe mlikua mnadiscus kwenye media zenu kua TZ hapa east Africa mziki wa bongo unapigwa zaidi kwenya kuliko nchi zingine
karibu Bongo flava boss
yahh hapo umeongea vizuri boss nakumbuka enzi za necessary noise Carif music na genge enzi za akina clepto mlikua juu sana then wakaja uganda then this time is oursOur local artists aint doing that good. But musiki ni seasonal, one time kuna Kenya, next time kuna Tanzania, etc
hiyo ni obvious si redio zote zinapiga music sawaInadepend na Radio station Kaka. Kuna some stations huwezi skia Bongo flava.
Si radio za kikikuyu ambao tayari they got tribal boundaryInadepend na Radio station Kaka. Kuna some stations huwezi skia Bongo flava.
Mi mwenyewe nashangaa halafu ukiwaambia ukweli unaonekana unachuki ukweli mchungu kwakweliHivi kwann nyinyi wakenya kila kitu lazima mnataka kujifananisha na bongo land. Mmeshindwa kwenye battle la Dar es salaam vs Nairobi bado tu, sasa kwa taarifa yenu nyinyi mziki hamjui.Eti kuna boya mmoja humu anasema Kenyan music its for worldwide while Bongoflava for East Africa are you mad? Kenyan music have poor flavour which lead to lack air time in many radio stations in other African countries even in Tanzania I doesnt hear Kenyan songs in our local radio stations. Kwa kifupi mziki wenu haukubaliki ndio maana victoria kimani akaamua aende zake chocolate city.
Nataka niwaambie tu mziki wenu wakenya in mbovu alafu eti MTU anakuambia international/ hivi huyu jamaa ana akili kweli?
UpuuziMi mwenyewe nashangaa halafu ukiwaambia ukweli unaonekana unachuki ukweli mchungu kwakweli
Hamna kitu Kenya wacha kuwalisha upepoKenya namsikiliza Kaligraph Jones, huyu jamaa akipata management inayojua soko la muziki atafika mbali sana.
Wengine ni Nyashiski na Wyre.
Mtu kama Bahati ndio Super star!!
Kenya bwana
wazidi kuwekeza kwenye Mbio
hapo sawa