Kenyan Music

Nyinyi ni international gani mm hata uniwekee papuchi pembeni uniambie nikutajie current Kenyans musicians wa 5. Papuchi nitakua nimeikosa kwakweli wangechi nilimuona kwa Mara ya kwanza kwenye coke studio ndio nilipo mfahamu. Sauti Sol nimewajua kwenye ngoma ya AY I don't wannah be alone. King kaka na nawasikia tu ila ngoma zao hata moja sizifahamu. Upcoming artist wengi mnawafahamu nyinyi wenyewe alafu mnasema international sasa kwa taarifa yako bongoflava inapeta mpaka nigeria.Wasanii wengi tu kutoka naija wanakuja bongo kwa ajili ya kuongeza fun base na kutafuta connection. Kuna msanii fulani kutoka naija anaitwa papa alikuja bongo na katoa ngoma ya kiswahili. Mara super star wenu Baraka kaja kutoa ngoma na rayvany. Nawakati bongo rayvany watu wanamuona wa kawaida tu. Ni mziki gani huo wa international mnakosa hata show kwa majirani zenu mkiwa na matamasha makubwa mnakuja bongo kuwachukua wakina alikiba, diamond,Vanesa etc.
 
Sasa amesema nini pale?? Ni kizungu hajui?? yeeeye kila saa, huyu hiyo music si yake aachiye wenyewe
Pole sana
Wewe mzungu!!
Shida yenu ndio hiyo
Ndio maana music wenu haukuu
mme kalili English ndio kilakitu

Kenya kuna aina gani ya music
maana hamueleweki
mdundo mmoja
kuimba kama mnapigana
 
Bongo kweli kiboko
Bidada kajitutumua
If you want a test of really Reggea love songs of all times, you get it here in Kenya


What can Tanzania offer, guys you are like when Kenya was in 2000-2004 during the reign of the likes of E-Sir, Now Kenya Music is international affair!!
 
Kenya mnavituko
Tanzania huwezi kuta ujinga kama huo
Kila kabira lina Redio yake!!
Sioni ubaya wa hilo mimi. Its promoting indeginous cultures. Kenya utapata waKikuyu wana redio kadhaa, Wajaluo, Wakamba , waLuhya , WaSomali, wakalenjin n.k. Pia wahindi wana redio yao. Plus kuna specialised stations huku pia. Utapata a radio that does rock music pekee, hip hop & rnb, reggae etc
 
Hivi usikilizwaji wa East Africa Radio 94.7 fm hapo Nairobi upo vipi? Na ni radio stations zipi zina listeners wengi
 
Kulinga nisha Tanzania na Kenya kwenye Music ni madharau
 
mtabaki hvyo hvyo .....kumbe mpaka nonini,juakali na wengine wote apo kenya wanafanya international muzic kama kaligraph
 
Dunia nzima sasa hivi YouTube ndio kipimo cha kujua kama muziki unapendwa au la, na ndio maana wasanii wengi wanalazimika kuachia video mara baada ya audio.

Nyimbo za Tanzania ndio nyimbo zinazoongoza kwa views nyingi hapa Afrika Mashariki, ikimaanisha zinapendwa zaidi.

Kenya mnadai kuwa nyie ndio internet penetration kubwa kuliko nchi zote za Afrika Mashariki (it's debatable but this is not the place) kwa hiyo inamaanisha WaKenya wengi wana nafasi ya kuangalia YouTube kuliko watu wengi hapa Afrika Mashariki.. hivyo kama ingekuwa muziki wa Kenya unapendwa sana basi mngekuwa na views kubwa hapo hapo Nyumbani kwenu..

Lakini cha ajabu, bado nyimbo za wasanii wa Tanzania ndio zinazoongoza kuangaliwa huko Kenya, na nchi nyingine hapa Afrika..

Ikiwa nyimbo zenu ni nzuri na tasnia yenu ndio inaongoza, je hamuoni kuwa YouTube ni kipimo tosha cha kufanikiwa kwa wasanii wenu hapo nyumbani na hata kimataifa? Lakini mbona hamna views?

Nisameheni majirani kama mtakuwa hamjaelewa vizuri Kiswahili maana bado mna IDENTITY CRISIS kwenye lugha.
 
mbona bongo dizain ya kaligraph wapo kibao tena wanamzidi huyo isipokuwa hawajapata nafasi ya kutambulika


hafu kingine huo mziki na wawanyamwezi wamarekani wale sasa wanataka vitu vipya na kuhusu international mziki wowote ni international isipokuwa culture music ila kwenye video ukiharibu mziki wako ndiyo unakuwa local
 
Tanzania Music ni ya hapa hapa East Africa, tutajifunza nini toka kwao??
edward usijidanganye kimisingi mziki wa nchi yeyote ule ni international cha msingi utengeneze kitu bora chenye kiwango kuanzia audio mpaka video ziwe kwenye kiwango bora...
si mpaka uchane kama jay z ama uimbe kama rihana ndiyo utakuwa international

international ni ubora wa kiwango cha kazi uliyoifanya kuanzia audio mpaka video

nimegundua edward unauelewa mdogo na haujui mipaka ya music ipo vipi kwa viwango pole sana
 
Waligombea tuzo Wiz kid international artist from Nigeria na king Alikiba international artist from Tanzania
Msanii bora wa kiume Africa tuzo ikaenda kwa King Alikiba tuzo zilikuwa zinatolewa kutoka UK huko international kwenyewe kwa kina Drake,lil Wayne,Chriss brown,Rihana,Nick minaj,Kendrick lamar,Sean Kingston,Sean poul,Adele,50 Cent, wiz khalifa,Charlie

Na wengine wengi .

ila wewe kwa akili zako bado unaifananisha Kenya na Tanzania kwa Muziki kufika international

Alikiba kaimba na R Kelly
Diamond kaimba naAkon
A.Y kaimba na Sean Kingston na Miss trinity.

Hao wote ni international artist ila kwa akili yako bado unakazania battle yako.
 
kwa kipi ulichowakilisha dunia....kwa huu mziki acha ushamba kama kanye,chris brown na mastaa wote wakubwa duniani mwelekeo wao wote wanautazama kupitia youtube sembuse kenya ha haaaa Mbaki hvyo hvyo ha haa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nakucheka kwa dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…