Kenyan Music

Msanii wa Bongo ambaye pekee yake ana mitindo ya ngoma za kimataifa ni Venessa Mdee, na hivi ujue sababu huyu ameishi Kenya kwa wingi akaelewa maana ya miziki ya kimataifa
uyo unamjua wew ila nishakuelewa unaupeo mdogo sikulaumu hauujui mziki vizuri akili yako inakutuma na imekudanganya kama international music lazima kiimbwe kizungu na kutumia midundo ya unyamwezini pole sana aisee una ubongo hafifu [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IMO Tanzanian music is shitty. I dont like Tanzanian music tbh
 
Nani TZ aweza toa Mziki international kama Redsan??
Music ya kibongo east Africa ndio mnaringa nayo?
hao wapo kibao huku sema hatuwap nafasi tunataka vya kwetu....si vya watu hatuhitaji english sisi


hiyo ni obvious si redio zote zinapiga music sawa
lakini unajua kwanini mziki wa kenya saizi hautubambi sana East Africa?
 
IMO Tanzanian music is shitty. I dont like Tanzanian music tbh
At least you are recognizing our music and identity but for sure on our side to entitle a certain music as your common is impossible unless we heard kikikuyu au kijaluo within.

Mpompo tu hamueleweki mpaka saivi Africa kuna music identity kubwa tatu ya kwanza and the bigger one ni Bongo flava, ya pili ni Naija Music, tatu Congolese music and lastly Kwaito from SA.

Sasa nyie Kenya msio na mbele wala nyuma kisanaa mnakuja kujilinganisha na the legendary Bongo flavor the incredible
 

Sasa Bongo flavor inaenda wapi? Naija Music is near International genre and can be played anywhere without someone asking ...... which kind of Music is that??? But Bongo??
 

Kenyan Music we sing for the world not as local as Bongo you keep boasting about
This is Kenyan Music appreciated till Israel
 
Kenyan Music we sing for the world not as local as Bongo you keep boasting about
This is Kenyan Music appreciated till Israel
Wewe hauna akili kabisa, yani miziki ya culture kwa ajili ya kuburudisha wazungu ndio international nenda sanaa bagamoyo uone tena wazungu wanakuja wenyewe.
 
Hatujalinganisha. We are just talking about Kenyan music
 
Vibration sound Mirinda Nyeusi : Magdarena
Mirinda Nyeusi ambaye jina lake halisi ni Abraham Mpoyo, ilianzia Vibration Sound
Source: Dj Abrozama
 
Makondeko Group Musica Mpenzi Nuru

Makondeko Group Musica is a Tanzanian Traditional music group from Mtwara, southern Tanzania.
Source: Festo Henry Msangawale
 
Nani TZ aweza toa Mziki international kama Redsan??
Music ya kibongo east Africa ndio mnaringa nayo?
Redsun ana uza international kama Diamond ???????? wewe unazungumzia jinsi redsun anavyokopi Jamaica ndio international? kenya fanyeji issue zingine sio mziki, Hata Gospel yenu mbovu sana mercy masika na wengine few ndio wanaweza wengine wanaimba imba tu makelele
 
Sasa Diamond hiyo ni Muziki gani??? Hiyo inachezwa kwenye Club na Mathree pekee? Mahali Official hauoni
 
Huwa najisikia kichefuchefu ninapo sikia Kenya music
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…