Got this friend of mine who owns one of the local football junior team in East Lands. One day he requested me to accompany him to Uganda for a three day U16 football extravaganza, teams were drawn from three countries namely: Kenya Uganda and Tanzania. That's when I knew the significance of being conversant with several languages. It was amazing to see how Kenyan kids managed to make friends across the divide unlike their counterparts from Uganda and Tanzania. Language barrier can be such an impediment.A Kenyan poet is among the winners of the 2018 Mabati- Cornell Kiswahili Prize for African Literature to be feted next month bin Tanzania.
Jacob Ngumbau emerged victorious for His Kiswahili poetry work "moto wa kifua" (Fire of the coconut shell) and will take home a prize of sh500,000 during a ceremony to be held in Dar es salaam on February 15.
Ala kumbe Wakenya ikifika ni kiswahili ni wanoma than their Tanzagiza counterparts not only in English but also in Swahili.
Tukiwaambia hamjui kiswahili mnakataa sasa "moto wa kifua" ndo nini???
Yaani hata haikujii akilini kuwa "kifua" ni chest??
Sema "Moto wa Kifuu" kudadadek...
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kiswahiri ni rugha yetu. Wakenya wanatuibia rugha yetu."
Wacha kuonea Wakuria. Watanzania wote husema 'r' badala ya 'l' na 'l' badala ya 'r'. Hata humu humu Jamiiforums kuna Watanzania wanaoandika hivo.Wakurya ndio wanasema 'Kiswahiri' na 'rugha' na baadhi ya watu wachache wenye tatizo la kuchanganya l na r, si watanzania wote.
Kama tu wale wakenya sijui wa kabila gani wanaosema njesus badala ya Jesus
Hongera nyingi kwa mshairi wa 'Moto wa Kifuu'
Wakenya wote hawawezi sema mwizi wanasema mwisi! hapa nimetumia akili yakoWacha kuonea Wakuria. Watanzania wote husema 'r' badala ya 'l' na 'l' badala ya 'r'. Hata humu humu Jamiiforums kuna Watanzania wanaoandika hivo.
Tuombe radhi, unawezaje ku-generalize kwa sababu ya makosa ya wachache wanaochangia Jamii Forums!...Wacha kuonea Wakuria. Watanzania wote husema 'r' badala ya 'l' na 'l' badala ya 'r'. Hata humu humu Jamiiforums kuna Watanzania wanaoandika hivo.
Wanasema "mwisi" but if it comes to writing they write " mwizi" but you what you write and say are the same, if it's food you call it "chakura" and then go ahead and write "chakura" again. What is that if not lack of education. One perennial example is Malissa.Wakenya wote hawawezi sema mwizi wanasema mwisi! hapa nimetumia akili yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jameni tuambiane ukweli. Sisi hukubali tunapokosa - kwa mfano kadoda11 hupenda kutukejeli kwa kusema 'kwenyu' badala ya 'kwenu' na hamna Mkenya anayebisha hilo maanake hata Wakenya wasioadhirika na na lugha ya mama kwa kuongea Kiswahili husema hivyo. Hilo la Mwisi ni uongo kabisa - Wakenya tu wa kabila fulani (sana sana kabili za kiNilote) ambao wameadhirika na lugha ya mama husema hivyo wala sii Wakenya wote.Tanzania hadi mjini Dar hamna tofauti ya r na l. Hadi rais wenu yupo vivyo hivyo. Hapa Kenya mtaa wa Majengo ulio na Watanzia wengi wenye asili ya Chagga hawana tofauti ya r na l.Wakenya wote hawawezi sema mwizi wanasema mwisi! hapa nimetumia akili yako
Sent using Jamii Forums mobile app
For once mtu ame accept reality,we humbledPerfect!! Hata vitabu vingi vya fasihi vimeandikwa na wakenya na wazanzibari. Watanganyika huwa na matatizo ya kuandika japo wanajua misamiati
And where do you come from,ama you kenyan indian hahaGot this friend of mine who owns one of the local football junior team in East Lands. One day he requested me to accompany him to Uganda for a three day U16 football extravaganza, teams were drawn from three countries namely: Kenya Uganda and Tanzania. That's when I knew the significance of being conversant with several languages. It was amazing to see how Kenyan kids managed to make friends across the divide unlike their counterparts from Uganda and Tanzania. Language barrier can be such an impediment.
Haha n then juzi mwingine ananishow tunaongeanga kiswahili tukibana mapua"Kiswahiri ni rugha yetu. Wakenya wanatuibia rugha yetu."