nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Nitajie waandishi mashuhuri walioandika vitabu hivyo vya kiswahili mkuuPerfect!! Hata vitabu vingi vya fasihi vimeandikwa na wakenya na wazanzibari. Watanganyika huwa na matatizo ya kuandika japo wanajua misamiati
Sent using Jamii Forums mobile app