Kenyan poet beats Tanzanian rivals to win kiswahili award

Wakurya ndio wanasema 'Kiswahiri' na 'rugha' na baadhi ya watu wachache wenye tatizo la kuchanganya l na r, si watanzania wote.

Kama tu wale wakenya sijui wa kabila gani wanaosema njesus badala ya Jesus

Hongera nyingi kwa mshairi wa 'Moto wa Kifuu'
Kama wale wakenya wanaosema 'njanuari' badala ya 'januari' au kiingereza 'january'.
 
The Mabati Cornell Kiswahili prize was founded in 2014 by a KENYAN Dr. Mukoma wa Ngugi.

We don't need a stupid prize to know who knows better Swahili. You've but to travel to these countries. Ukweli upo wazi!
 
Tuzo ya mkenya kashinda mkenya!!! Shida iko wapi sasa? Jamani we Tanzanians don’t need competition with you, you’re better than us in everything we all know, so now I think you should compete huko kwenu kwa tribes which is better
 
Yani mmoja tu, tena kwenye ushairi ujinga huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda kwenye vyuo kule Japan, China n.k. wanakofundisha Kiswahili, uone walimu waliochaguliwa kwa wingi ni Wakenya, ifahamike kuna Kiswahili cha mtaani ambacho ndicho mpo vizuri, lakini likija kwenye ufasaha na uandishi ambapo inahitaji matumizi ya akili, huwa mpo zero.
 
Hiyo siyo pointi ya msingi kwa uwepo wa wahadhiri au walimu wengi wa kiswahili ndiyo uwepo wa waandishi wengi wa vitabu vya kiswahili Tanzania huwa zinakuja fursa hizo ila urasimu na rushwa za nan apate ndiyo tatizo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I guess you don't know the origin of the word " njaanuary" if you don't know please ask.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hawezi juwa his not kenyan,thats an inside joke,this pple think they know us,Tz hakuna kitu mnajua,you dont know kenya media yenu huwachocha sana about kenya but our media is busy talking about developed countries thats why si ujituma coz toka tuwe watoto tumeona tu staffs za developed country so ikatupa idea of where we shud be n where our country shud be,in we know about London more than we know about pretoria and we know more about states than what we know about UK

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hongereni Wakenya kufanikiwa hili!

Hakuna haja ya kuwaonea wivu....Mmefanikiwa,hey,congrats!

Kiswahili ni chetu sote..Hongereni!
 
Please tell me the origin of 'njanuari'.
Thanks in advance.
Kenyans always view January as a long month, a month in which money circulation is very low and also a month of hot sun with no rains. Because of this they are trying to conclude that January is a month of hunger na hiyo ndo sababu ukiangalia most social media za Kenya utaona people writing "njaa-nuary" which is a combination of njaa( hunger) and nuary( 1st month of the year)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah wao husound dumb sasa wanaexpect tu ige nani we were colonised we went through apartheid there were whitelands n africans land so that means hata shule zenye kina Kenyatta walienda were all run by white so hio ni ujinga lazima tuwaige juu ndani yetu tuna part of them,so si makosa yetu ku colonisiwa but kutulaumu munakaa wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like it.
It's true January is full of njaa.
Njaa all over the place. Njaa in stomach, njaa in the pocket, e.t.c.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…