Kenyan Police Officer

Kenyan Police Officer

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1538925520157.jpeg

Majirani huyu anaweza kamata hata kuku licha ya mwizi?
 
Hehehe! Hiyo sio sare ya polisi, atakua chifu wa kata.
 
Ni nini kinaendelea? Si wabongo walisema wakenya si wanene kisa hakuna chakula Kenya?
Huyo ni mkenya fisadi ndiyo maana ujui Kenya inawenyewe siyo mtu kama wewe ,arafu kwanini umekuja na id Mpya ile uliyo post chupa ya pombe na mkono wako umekomaa kama mchimba mitaro umeikimbia
 
Dah!! Umbo kama kibuyu.
images.jpeg
 
Back
Top Bottom