Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,108
Kwani wajibu wa kulinda raia si ni wa serikali??? Unafikiri hawa wa Ethiopia hawapiti Kenya? Na kama wanapita mbona hawafi kama huku???Wewe akili yako ni ndogo sana, sidhani kama kunasababu ya kuendelea na huu mjadala, kwani nani aliyekuwa anawaua hao waethiopia, serikali imejitahidi kuwazuia kuingia nchini kinyume cha sheria, wao wenyewe wanaamua kufungiwa ndani ya container baadae wanakufa kwa kukosa hewa, hapo serikali inahusika vipi?, nimekuambia kama hujui mambo, nyamza usituchafulie mjadala hapa ndani.
Let's be fair........ Kenya wako juu kwa kila idara.
Haya ya akili yangu kuwa ndogo, Sawa tu hata ukitukana sawa tu. I don't attack a person bila sababu