Data za kiuchumi huwa hatuweki % tu mkuu. Lazima tufanye consideration kwa kuangalia factors zotekwa internal main stream tunaweza sema zinaweza ziwe biased.
lkn hii report ni ya independent external body. they are not biased in reporting the research findings.
Kwenye corruption pia Kenya ilishika namba 3 duniani, hii nayo pia namba 3, ngoja tusubiri kipengele cha njaa tuone ndugu zetu watakuwa namba ngapi, ila hongereni sana, ushindi ni ushindi tu, muhimu ni kujulikana duniani.
Hao waliokusanya data mpaka wakaweka kwenye %, walishafanya hizo zote considerations unazozitaja, wao ni wataalamu katika hilo, hadi kufikia wamezikubali na kuziachia ziweze kutumika duniani ni kwamba walishafanya hayo yote, ila kama umefanya tafiti ambayo imekuonyesha tofauti, utuambie ili tuweze kulinganisha na sisi, tunachopinga ni wewe kutoa taharifa zisiso na backup ya data wala tafiti zozote, zaidi ya kupinga zilizopo na bila kutupa mbadalaData za kiuchumi huwa hatuweki % tu mkuu. Lazima tufanye consideration kwa kuangalia factors zote
Wakati huo factors zingine ziwe constant (ceteris paribus)
Precisely my point, Tanzania nearly twice the size of Kenya and a slightly higher population with all the mineral wealth any country will envy is still an LCD and comparing it to Kenya is great injustice. Kenya is where it is courtesy of it's very important Human resource and not mineral wealth.the population has nothing to do with the welfare of the citizens but good plans and management of resources.
have you ever visited Swaziland and Lesotho!!??
you'll understand what I'm meaning.
Siasa safi ndo ipi wewe usiyejua takwimu? demokrasia tunawazidi mbali, sasa wana siasa gani!Wakenya mko juu ya Tanzania. This is a bitter truth kwetu watanzania tusiopenda maendeleo ya wenzetu
Siasa safi imewafikisha hapo mlipo. Acha sisi na unafiki wetu wa nyumbani kwa Rais kuweka kiwanja cha ndege
www.rsf.orgSiasa safi ndo ipi wewe usiyejua takwimu? demokrasia tunawazidi mbali, sasa wana siasa gani!
Usiniombe source ya hiki nilichosema, hiyo homework ukafanye labda utaongeza maarifa.
Ila ukijitahidi kupata sehemu wakionyesha kenya kuizidi tz siasa uweke hapa
Hasomi links huyo kazi yake ni kupiga kelele tu hapa! Maana hata huu uzi mwanzoni nimeweka file la WISPI report ila yeye hata hakusoma akaishia kukimbia kuuliza position ya tz wakati iko kwenye report[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]www.rsf.org
Link hiyo muambie afungue aone jinsi tulivyowatupa mbali, yeye aseme maeneo anayohisi Kenya ipo juu tutampiga shule, amezoea kuamini maneno ya mtaani huyu