Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Waziri wa usalama na mambo ya ndani wa kenya Pro George Saitoti na naibu waziri wake pamoja na maafisa wengine wa usalama wamefariki kwa ajari ya hericopter "choper" source KBC na K24 breaking news! Mungu uwarehemu wote waliofariki. Amina
 
[h=6]BREAKING NEWS: Kenyan Security Minister George Saitoti And His Assistant Reported Killed In Helicopter Crash
[/h]
 
Duh! Inasikitisha kwakweli kuondokewa na watu muhimu aisee.
 
So sad! RIP George Saitito! MUNGU akulaze mahali Pema peponi!
 
Kifo chochote ni huzuni kwa wanafamilia, lakini kifo cha ghafla kama hiki cha ajali is it even more difficult for the family. Poleni sana wanafamilia na mungu awape nguvu. Poleni Wakenya wote.


So far Citizen TV wanasema helicopter ilikuwa na pilot 2, lakini kulikuwa na bad weather.
 
Fours years (10 june 2008)ago on the same date a plane crush killed roads minister and an assistant minister home affairs source citizen tv


It can't be a coincidence!! Mmmm..... My Saitoti.
 
Poleni wakenya kwa msiba huo mkubwa.
Ila inaweza ikawa ni njama za kisiasa maana jamaa alikuwa anakubalika sana.
 
Back
Top Bottom