Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

In other news, Winnie Wangui Mwai, Mwai Kibaki's daughter was to marry Artur!

a.jpg


Kibaki's second wife Mary Wambui and Kibaki's daughter Winnie Wangui Mwai..guess what her mother's job description entails!

wambs.jpg
 
What has happened unto Mohammad-the program presenter after yesterday's broadcast?

524757_232063940251887_1846272851_n.jpg

 
Duh! hii nayo kali aise, its very open aise!
 
Niliangali yote Moha yuko fit sana isee acha kabisa mimi sikuwa bored hat kidogo
 
Tume iliyoundwa kuchunguza ajali ya helikopta iliyosababisha kifo cha aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani wa Kenya Profesa George Saitoti na watu wengine watano, imesema kuna uwezekano mkubwa kuwa ajali hiyo ilisababishwa na makosa ya rubani. Hakuna mtu aliyenusurika ajali hiyo iliyotokea katika mji wa Ngong nje kidogo ya jiji la Nairobi.

Kiongozi wa tume hiyo Kalpana Rawal amesema kuwa huenda helikopta hiyo ilianguka baada ya rubani kushindwa kuidhibiti kutokana na ukosefu wa mwanga wa kutosha. Mjumbe mwingine wa tume hiyo Peter Maranga amesema inawezekana marubani wawili wa helikopta hiyo hawakuwa na uzoefu wa kutosha kuendesha ndege katika hali mbaya ya hewa.

Aidha tume hiyo imesema imegundua hitilafu katika sekta ya mafunzo na ubora wa kiufundi katika ndege. Hali kadhalika tume hiyo imeilaumu kampuni ya Eurocopter iliyoiunda helikopta hiyo, kwa vipuri ilivyowekewa ndege hiyo siku chache kabla ya kuuzwa kwa polisi nchini Kenya.
 
Intelijensia ya kenya haina cha kupoteza.aliyekufa ndo mwenye hasara
 
maelezo yako ayaendan na mtangazaji wa eatv ambaye amesema ajali ilitengenezwa na watu wazito toka serikalini na baada ya ile ndege kuanguka na watu kupoteza maisha mmoja wa watu waliofika kwenye tukio walichukua simu ya prof saitoti na kuanza kuitumia kwa kuwasiliana na mkubwa mmoja serikalini na inavyo semekana uwenda wale marubani walipoteza maisha kabla ya ndege kuanguka
Kwa sababu hizo wanasema uwenda watakuwa waliwekewa gas ya kuua na ndipo walipoivuta wakapoteza maisha na ndege kupoteza muelekeo na kuanguka
 
Kama unangoja utajiwe kwamba huyu ndie muhusika mkuu,basi ngoja sana mana hutaelewa kitu,lakini wabunge wameona,na utaona vile bunge litawaka moto ju ya swala hili,ile gharama imetumika kwa ajili ya uchunguzi huu,alafu wewe unaubeza!!!,.
 
Did anyone of you catch the segment that seals Kenya's ascendency to criminals' utopia?

Its now very obvious that Saitoti was murdered by the closest confidants to the current President...'the Butcher of Naivasha'...the man is coming into office with his hands dripping of both old blood (post '07 PEV) and new blood (this Saitoti debacle.)...Who is going to save Kenyans from this ogre!
 
inasikitisha sana, RIP SAITOTI na kamanda OJODE
 
Back
Top Bottom