Unampongeza kwa yeye kuwa na Phd au unampongeza yeye kuwa Korokoroni wa Elon Musk??.
Mimi nampongeza kuwa na Phd lakini ni mpumbavu kwenda kuitendea kinyume Phd yake (his abuse of his profession) --- kuwa korokoroni.
Wewe hufikiri huko US kuna Astrophycisists wazungu wangapi wenye Phd wanaoweza kushika nafasi hiyo ambayo Elon amewaacha na aje amchukue huyo Mkenya mweusi tii kuliko mimi??--- yawezekana Phd yake ni ya jalalani inayomfaa mtu awe korokoroni na sio Lacturer nk.
Wewe hauwezi kupongeza maana hata haujui nini kinazungumzwa kuhusu, umekurupuka kama kawaida yenu.
Kha!! Kuajiriwa huko kwa Elon Musk jameni hata wazawa wa US huwa ndoto ya mbali sana kwao, ili uruhusiwe kufanya kazi kwenye hayo madubwasha unapitia usaili mkali sana na hapo jamaa ana fursa ya kufanya makubwa, umeona anasaka PhD ya pili.
"Mkenya mwenye Phd ya Astrophysics awa korokoroni wa Elon Musk".------ is it not the subject??
Jeshi zima la US,mwenye PHD ni mmoja,tena Mkenya!!!acha utani basi jombaaa,hata kama ni mahaba hapa umetia chumvi nyiiiingiNimeiona hiyo mkuu, jamaa ameamua kujikita kwenye taaluma kisawa sawa.
Nilichosema kuhusu roho mbaya za watu ni hapo kujitoa ufaham kutambua juhudi binafsi za huyu jamaa...
Wameshindwa kuweka umakini kwamba jamaa PhD yake ya hayo mambo ni peke yake anayo kwa jeshi zima la US. Sio kitu cha kubeza hicho
"Mkenya mwenye Phd ya Astrophysics awa korokoroni wa Elon Musk".------ is it not the subject??
"Mkenya mwenye Phd ya Astrophysics awa korokoroni wa Elon Musk".------ is it not the subject??
Jeshi zima la US,mwenye PHD ni mmoja,tena Mkenya!!!acha utani basi jombaaa,hata kama ni mahaba hapa umetia chumvi nyiiiingi
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Inaitwa rat race..Kha!! Kuajiriwa huko kwa Elon Musk jameni hata wazawa wa US huwa ndoto ya mbali sana kwao, ili uruhusiwe kufanya kazi kwenye hayo madubwasha unapitia usaili mkali sana na hapo jamaa ana fursa ya kufanya makubwa, umeona anasaka PhD ya pili.
Hakuna cha 'SISI' ni 'YEYE'. Mafanikio ni yake na familia yake. Sio mtu mweusi wa kwanza kufanya kazi huko, dah. Ishu ndogo hiiHuyo jamaa ni phd holder pekee katika Astrophysics kwa huyo Elon Musk, kumbuka ni Pekee, kumbuka pia yeye ni mtu mweusi, kwani umesikia wazungu wanawapenda watu weusi??--- hapo kuna kitu kibaya kinatafutwa kwa huyo mtu mweusi ila hao akina MK 254 hawalioni hilo isipokuwa kuja hapa na tambo za kijinga za; "Sisi Wakenya-----"
Aliyekwambia yuko 'underrated' huko ni nani, yaani aache donge nono na kazi poa arudi KE, hivi uko sawa wewe? πInaitwa rat race..
Alivyosema jamaa ni sahihi, ukiangalia begani jamaa hana hata nyota, ni Private tu.. Ni heri aje hapo University of Nairobi afundishe vijana hiyo fani aliyosomea kuliko kuwa underrated huko US Army..
Hakuna cha 'SISI' ni 'YEYE'. Mafanikio ni yake na familia yake. Sio mtu mweusi wa kwanza kufanya kazi huko, dah. Ishu ndogo hii
βοΈ
Donge nono bega jepesi hivyo???Aliyekwambia yuko 'underrated' huko ni nani, yaani aache donge nono na kazi poa arudi KE, hivi uko sawa wewe? π
βοΈ
Hakuenda 'Body-Building' huko!Donge nono bega jepesi hivyo???
Duuuh ngoja nikuache tu mkuuHakuenda 'Body-Building' huko!
βοΈ
Hapana!!! Mtanzania profesa afuata matangawizi Madagascar na kusema ndio dawa ya corona...hehehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakifupi bado mko gizani tu,Mwanga uko mbali sana
π π πDuuuh ngoja nikuache tu mkuu
Wewe unadhani ni sifa kwa profesa jalalani kufuata kikombe cha babu Madagascar, kwenu huko wanaojiita "wasomi" ni kituko, sasa na wasio wasomi kama wewe si ndio aibu ya kufa mtu....heheheheWewe unadhani ni sifa kwa phd holder in Astrophysics kupewa kazi ya ukorokoroni??!!, hiyo ni dharau na tusi kubwa kwamba Phd yake inafaa kwa kazi hiyo ni sio vinginevyo.
Sio kila kitu ni pride, Wakenya jitambueni.π€£
Wewe unadhani ni sifa kwa profesa jalalani kufuata kikombe cha babu Madagascar, kwenu huko wanaojiita "wasomi" ni kituko, sasa na wasio wasomi kama wewe si ndio aibu ya kufa mtu....hehehehe