ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Ndo kusema haaminiki na elimu yake au inakuaje ana Phd ata nyota moja hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CC Mahondaw. ....it never last that long [emoji3] utoto raha sana.Hongera zake... na kila la kheri kwake...
Muhimu sana watu wakasoma hii
In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.
Khe! KorokoroniMpumbavu huyo, Badala ya kwenda kufundisha Nairobi university ili wapatikane Wakenya wasomi wa Astrophysics yeye kaenda kuwa Korokoroni wa Elon Musk.
Khe! Korokoroni
Wekeni.Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee
Mpumbavu huyo, Badala ya kwenda kufundisha Nairobi university ili wapatikane Wakenya wasomi wa Astrophysics yeye kaenda kuwa Korokoroni wa Elon Musk.
Na wewe mpumbavu badala ya kuvimbiwa ubwabwa hapo Tandale, jaribu usake elimu hata ya la saba.....
Huyo huko alipo amefikia kiwango ambacho ukoo wako wote, wilaya yako yote, mkoa wako wote, nchi yako yote hakuna atakayeweza kufikia.
Ulisoma shule gani mkuu, yeye ni mwanajeshi wa US na analipwa na serikali sio Elon Musk. SpaceX yuko kwa usaidizi wa maarifa yake akiwa na wengine wengi tu kwenye nyanja hiyo! Soma kwa makini.Mbona jamaa anaonekana anamsongo wa mawazo? Elon anamlipa mshahara kweli?
Wacha utopolo, kwa Elon Musk anasaidia tu lakini yeye ni mwanajeshi wa US so hata mshahara watoka kwa serikali sio huyo billionear. Alafu wewe mwenyewe unaongea sana lkn ukiitwa sahi na huyo Musk akufanye kazi kwake, hukatai wewe ata kidogo, wajipeleka mzima mzima, so acha perepere nyingi mkuu!Mpumbavu huyo, Badala ya kwenda kufundisha Nairobi university ili wapatikane Wakenya wasomi wa Astrophysics yeye kaenda kuwa Korokoroni wa Elon Musk.
Huyo jamaa ni m'bongo kweli? 😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi miaka 14 bila viatu duh majirani kumbe kuna wenzenu wanateseka namna iyo ,Na kwa sasa hali ikoje uko Kitale.
Good part of the story the guy is luck and smart enough to achieve that PhD, it was not easy ,let him enjoy his achievement
Wacha utopolo, kwa Elon Musk anasaidia tu lakini yeye ni mwanajeshi wa US so hata mshahara watoka kwa serikali sio huyo billionear. Alafu wewe mwenyewe unaongea sana lkn ukiitwa sahi na huyo Musk akufanye kazi kwake, hukatai wewe ata kidogo, wajipeleka mzima mzima, so acha perepere nyingi mkuu!
✌️
Muhimu sana watu wakasoma hii
In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.
Wewe katika ukoo wako mmefikia kiwango hicho??--- au Nyani haoni kundule??!🤣
Watumwa wakubwa wa mabeberu nyie.
Mtu anaacha kutumia Profession yake kusaidia Watu wake anaenda kuwa Korokoroni kwa wazungu halafu wewe unakuja kututambia upumbavu na ujinga wake hapa!!?, au hawezi kuwa lecturer au ndio ule ukabila na ubinafsi wa kikenya unawatafuna!??
Mimi kwa kutambua ukoo wetu hatujafikia huko, imebidi nimpongeze badala ya kumtukana, ila wewe maskini usiye na elimu baada ya kushiba uji wa ulezi hapo Tandale umekurupuka kumtusi jamaa, yaani ni laana sana kunyimwa ubongo...hehehe
Roho mbaya ni shida sana, mie ndio kitu nakitafakari hapa kwanini hata huko jeshi la US hawajampatia heshima anayostahili? Ni mafanikio makubwa sana, wengine wanazo hizo PhD ila kwa hiyo kada yeye pekee ndio anayo jeshi zima la US.
Mara zote hua naangalia upande wa kitu cha kujifunza.