Kenyan Soldier (Ph.D holder) Working for US Billionaire Elon Musk

Ndo kusema haaminiki na elimu yake au inakuaje ana Phd ata nyota moja hana
 
Muhimu sana watu wakasoma hii
In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.

Mpumbavu huyo, Badala ya kwenda kufundisha Nairobi university ili wapatikane Wakenya wasomi wa Astrophysics yeye kaenda kuwa Korokoroni wa Elon Musk.
 
Khe! Korokoroni
Screenshot_20210307-082209.png
 
Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee
Wekeni.
 
Mpumbavu huyo, Badala ya kwenda kufundisha Nairobi university ili wapatikane Wakenya wasomi wa Astrophysics yeye kaenda kuwa Korokoroni wa Elon Musk.

Na wewe mpumbavu badala ya kuvimbiwa ubwabwa hapo Tandale, jaribu usake elimu hata ya la saba.....
Huyo huko alipo amefikia kiwango ambacho ukoo wako wote, wilaya yako yote, mkoa wako wote, nchi yako yote hakuna atakayeweza kufikia.
 
Wewe katika ukoo wako mmefikia kiwango hicho??--- au Nyani haoni kundule??!🤣

Watumwa wakubwa wa mabeberu nyie.

Mtu anaacha kutumia Profession yake kusaidia Watu wake anaenda kuwa Korokoroni kwa wazungu halafu wewe unakuja kututambia upumbavu na ujinga wake hapa!!?, au hawezi kuwa lecturer au ndio ule ukabila na ubinafsi wa kikenya unawatafuna!??
 
Mbona jamaa anaonekana anamsongo wa mawazo? Elon anamlipa mshahara kweli?
Ulisoma shule gani mkuu, yeye ni mwanajeshi wa US na analipwa na serikali sio Elon Musk. SpaceX yuko kwa usaidizi wa maarifa yake akiwa na wengine wengi tu kwenye nyanja hiyo! Soma kwa makini.
✌️
 
Mpumbavu huyo, Badala ya kwenda kufundisha Nairobi university ili wapatikane Wakenya wasomi wa Astrophysics yeye kaenda kuwa Korokoroni wa Elon Musk.
Wacha utopolo, kwa Elon Musk anasaidia tu lakini yeye ni mwanajeshi wa US so hata mshahara watoka kwa serikali sio huyo billionear. Alafu wewe mwenyewe unaongea sana lkn ukiitwa sahi na huyo Musk akufanye kazi kwake, hukatai wewe ata kidogo, wajipeleka mzima mzima, so acha perepere nyingi mkuu!
✌️
 
Hadi miaka 14 bila viatu duh majirani kumbe kuna wenzenu wanateseka namna iyo ,Na kwa sasa hali ikoje uko Kitale.

Good part of the story the guy is luck and smart enough to achieve that PhD, it was not easy ,let him enjoy his achievement
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa amesoma hadi pale amefikia, ni bidii yake, wacha ale kivulini sasa. Awe ameandikwa na Mmarekani au Msomali haina tofauti, mwisho wa siku ni hela ya kujiendeleza yeye, familia yake na kizazi chake. Yeye sio rais wa mtu yeyote yule, ni choice yake na venye ataendeleza maisha yake, hakuna aliechangia hapa. Hongera kwake na atie bidii, Ishaisha iyoo!!!
✌️
 
Wacha utopolo, kwa Elon Musk anasaidia tu lakini yeye ni mwanajeshi wa US so hata mshahara watoka kwa serikali sio huyo billionear. Alafu wewe mwenyewe unaongea sana lkn ukiitwa sahi na huyo Musk akufanye kazi kwake, hukatai wewe ata kidogo, wajipeleka mzima mzima, so acha perepere nyingi mkuu!
✌️

Huyo jamaa ni phd holder pekee katika Astrophysics kwa huyo Elon Musk, kumbuka ni Pekee, kumbuka pia yeye ni mtu mweusi, kwani umesikia wazungu wanawapenda watu weusi??--- hapo kuna kitu kibaya kinatafutwa kwa huyo mtu mweusi ila hao akina MK 254 hawalioni hilo isipokuwa kuja hapa na tambo za kijinga za; "Sisi Wakenya-----"
 
Muhimu sana watu wakasoma hii
In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.

Roho mbaya ni shida sana, mie ndio kitu nakitafakari hapa kwanini hata huko jeshi la US hawajampatia heshima anayostahili? Ni mafanikio makubwa sana, wengine wanazo hizo PhD ila kwa hiyo kada yeye pekee ndio anayo jeshi zima la US.

Mara zote hua naangalia upande wa kitu cha kujifunza.
 
Wewe katika ukoo wako mmefikia kiwango hicho??--- au Nyani haoni kundule??!🤣

Watumwa wakubwa wa mabeberu nyie.

Mtu anaacha kutumia Profession yake kusaidia Watu wake anaenda kuwa Korokoroni kwa wazungu halafu wewe unakuja kututambia upumbavu na ujinga wake hapa!!?, au hawezi kuwa lecturer au ndio ule ukabila na ubinafsi wa kikenya unawatafuna!??

Mimi kwa kutambua ukoo wetu hatujafikia huko, imebidi nimpongeze badala ya kumtukana, ila wewe maskini usiye na elimu baada ya kushiba uji wa ulezi hapo Tandale umekurupuka kumtusi jamaa, yaani ni laana sana kunyimwa ubongo...hehehe
 
Unampongeza kwa yeye kuwa na Phd au unampongeza yeye kuwa Korokoroni wa Elon Musk??.

Mimi nampongeza kuwa na Phd lakini ni mpumbavu kwenda kuitendea kinyume Phd yake (his abuse of his profession) --- kuwa korokoroni.

Wewe hufikiri huko US kuna Astrophycisists wazungu wangapi wenye Phd wanaoweza kushika nafasi hiyo ambayo Elon amewaacha na aje amchukue huyo Mkenya mweusi tii kuliko mimi??--- yawezekana Phd yake ni ya jalalani inayomfaa mtu awe korokoroni na sio Lacturer nk.
 
Roho mbaya ni shida sana, mie ndio kitu nakitafakari hapa kwanini hata huko jeshi la US hawajampatia heshima anayostahili? Ni mafanikio makubwa sana, wengine wanazo hizo PhD ila kwa hiyo kada yeye pekee ndio anayo jeshi zima la US.

Mara zote hua naangalia upande wa kitu cha kujifunza.

Kha!! Kuajiriwa huko kwa Elon Musk jameni hata wazawa wa US huwa ndoto ya mbali sana kwao, ili uruhusiwe kufanya kazi kwenye hayo madubwasha unapitia usaili mkali sana na hapo jamaa ana fursa ya kufanya makubwa, umeona anasaka PhD ya pili.
 
Back
Top Bottom