Kenyan Speaking The Ugliest Swahili on Earth.[emoji51]

Kenyan Speaking The Ugliest Swahili on Earth.[emoji51]

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
This is probably the Ugliest Swahili I ever witnessed, Kiswahili Kibovu [emoji51]
 
This is probably the Ugliest Swahili I ever witnessed, Kiswahili Kibovu [emoji51]

Wanachanganya sana lugha kitu ambacho ni kiashiria cha kutokumudu lugha zote mbili vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
This is probably the Ugliest Swahili I ever witnessed, Kiswahili Kibovu [emoji51]

WaTANZIA wanataka kufundisha nchi za afrika kiswahili na hawajui mnyambuliko wa vitenzi.
Kufundisha somo lenyewe na kuzungumza lugha ni tofauti sana. Mpo vizuri kuongea hii lugha lakini kufundisha msijidanganye.
 
Umewahi kutana na Mwalimu wa Kiswahili to Tanzania?
 
Wacheni kujifanya nyie ndio wataalamu sababu mnasema "Benki" .Mbona huwa hamna hoja na kiswahili kibovu sana cha Congo?
 
Kiswahili chake ni kibovu kama cha Jiwe na ile lafudhi yake ya kisukuma.
 
Jinsi mnavyoandika humu inadhihirisha walimu wenu wanawafundisha vibaya sana. K.m. hamjui kutofautisha r na l,
dh na z , th na s.
Juzi mlisema hakuna neno 'funza' katika kiswahili

Funza maana yake ni Maggot, ama Jiggers wale Funza wanaomaliza Miguu ya Maelfu ya Wakenya kule mashinani.
 
Funza maana yake ni Maggot, ama Jiggers wale Funza wanaomaliza Miguu ya Maelfu ya Wakenya kule mashinani.
Shule ya msingi tuliambiwa kisawe chake ni 'tekenya' wale wadudu wanaoTEKENYA miguu ya wakaazi wa mbeya na kigoma hadi wanafikiria ni uchawi na kutoroka makwao.
Funza (nomino) jiggers
Funza(kitenzi) teach
 
Mleta mada kajifunze nini maana ya lafudhi....
Hili lipo hata kwa baadhi ya Watanzania, wasklize Wahaya wanapo ongea, neno 'uamuzi' wanatamka 'huamuzi'.
 
Hawa jamaa siyo English wala kiswahili zote broken mkenya lugha anayoongea kwa ufasaha ni lugha mama tu Kikuyu , Masai ,luo n.k
 
Jinsi mnavyoandika humu inadhihirisha walimu wenu wanawafundisha vibaya sana. K.m. hamjui kutofautisha r na l,
dh na z , th na s.
Juzi mlisema hakuna neno 'funza' katika kiswahili
dada acha upuuzi bana,wewe niaoni yupo asiyeelewa sababu ya hilo swala?i
 
Back
Top Bottom