Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
Kiswahili chake si kibaya wala si kizuri lakini cha muhumi ni kama umemuelewa. Vile anavyongea ni kama ako na kasoro mahali labda kichwani ama kiswahili ni lugha yake ya pili after lugha ya mama.