Kenyan Speaking The Ugliest Swahili on Earth.[emoji51]

Kiswahili chake si kibaya wala si kizuri lakini cha muhumi ni kama umemuelewa. Vile anavyongea ni kama ako na kasoro mahali labda kichwani ama kiswahili ni lugha yake ya pili after lugha ya mama.
 
Trust me lafudhi ya kingereza ya mbongo ni nzuri mara 100 kuliko mkenya
Ze ze zee...drimulaina,entapretentunyua...naona hii lafudhi tamu kwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu tatizo la watanzania mtu akijua kingereza kidogo tu,utaona balaa..jamaa huaga anataka aongee km wamarekani...mfano diamond tayari
 
Hatushobokei ndo maana tunaongea sehemu zinazoitaija tu tena siku hizi sio muhimu hata sio zile btw zenu kila baada ya maneno mawili

Tena umebadilisha upepo..si wewe uliyesema lafudhi yenu iko poa...na wakati wachache wanaokijua hutaka kuongea km wamarekani...
 
Back
Top Bottom