Kenyan Stock Exchange was the best Sub Saharan performer

I don't use Wikipaedia at all!, better world bank, imf, cia na government statistics.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakosea sana kutumia jf kama source yako... Unakosea sana.... Hasa kutoka kwenye lile jukwaa la siasa... Mule kuna watu wanaendeshwa kwa mihemko...Kikwete ameacha deni la taifa likiwa around 35 tri./=....leo lipo around 51 tri./=....na si 55 tri kama unavyotuaminisha...Leta habar kutoka source za kuaminika... Wachana na jukwaa la siasa na blog uchwara.... Bora utoe habari MMU sio lile jukwaa..
 
Damn, why you had to do him like that tho
 
Kaka get the factual data wacha bla bla bla., iko wazi..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣 tough tackle!
 
Your debt to GDP ratio is approximately 40 - 43%., confirm., then do the maths, though awali some reports indicated in projection 37.5%., nonetheless, with the relatively low revenue in relation to the population, a GDP of $62B., that is not good at all., na bado linaweza endelea kupanda, haswa 2020, miradi ni kibao on the pipeline., n your GDP haina enough muscles the way CCM inajisifia.
Data kuhusu nchi zipo wazi.. Hawawekiweki uwongo.... Mpaka article yako idumu mule ni imethibitishwa kuwa ya kweli..... Au weka hapa taarifa yoyote uliyodanganywa na Wikipedia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo wapelekee kule siasani watakupigia makofi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…