Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Unakosea sana kutumia jf kama source yako... Unakosea sana.... Hasa kutoka kwenye lile jukwaa la siasa... Mule kuna watu wanaendeshwa kwa mihemko...Kikwete ameacha deni la taifa likiwa around 35 tri./=....leo lipo around 51 tri./=....na si 55 tri kama unavyotuaminisha...Leta habar kutoka source za kuaminika... Wachana na jukwaa la siasa na blog uchwara.... Bora utoe habari MMU sio lile jukwaa..I don't use Wikipaedia at all!, better world bank, imf, cia na government statistics.,
Sent using Jamii Forums mobile app