Nilikuwa sijajua nguvu ya picha. Hivi sasa yale tuliyokuwa tukipigiana kelele kuwa Kenya imeendelea sana kufananisha na Tanzania yako wazi kabisa. Sasa hayo ni majengo na miundombinu tu, bado kiwango cha elimu, civility, (as opposed to ushenzi, uhuni, ulaghai na domo kaya- I feel safer and more respected as a human being in Kenya) na pato la taifa.
Kama nilivyokuwa nikifikiria, wale waliokuwa wakipiga kelele ...ooh bana, chichi...chichi Tanthania....kumbe upeo wa maarifa yao ulikuwa Kariakoo tu. Sasa wameanza kuamka! Tanzania is still a dirty, rough and a poor place (blame whomever you want to)
By the way, I am a Tanzanian!-