Kenyan & Tanzanian Surburbs


TATIZO NI SI SI Ni M!!!
 

Kando na hayo kwenye red, pia thread kama hizi husaidia kupevusha watu hatua mataifa yamechukua tangu kupatikana kwa uhuru. Mimi napenda hii thread sana. Ni vizuri mataifa Afrika maendeleo yaonekana sako kwa bako ndio itajaribu kurestructure maafikra yetu waafrika kuhusu mfano umuhimu wa biashara/ujasiri ya mali, miundo msingi nk. Ikiwezekana hayo niliyotaja yaweze kutiliwa maanani, wengi watajikwamua kutoka ufukara.

Inawezekana tujue asilimia ngapi kenya Uganda na Tanzania zimeweza kufaulu (1) kielemu (miundo za mfumo za elimu na wangapi wanaweza kupata elimu yenyewe, (2) Miundo msingi (3) uwekezaji katika biashara (4) maendeleo katika Kilimo nk.
 
Kwanza, pamoja na kwamba picha niliziziona humu ndani ni saaafi, nioni maana ya kulinganisha makaazi ya mijiji ya Kenya na Tanzania kwa kigezo cha makaazi! Its like comparing apples and potatoes! Haingii akilini! Ni kanakwamba kumlinganisha mrembo mzuri wa Manzese na asiye mrembo wa Oysterbay (Wakenya whawatajui hii mitaa ya Bongo!)! Lets have a conservative mind provoking conversation that will strengthen our focus of making our people more progressive, more creative and more adaptable to the goings on of the 21st Century! Uploading nice pics to apease your already bloated egos doesnt make sense! And for the record am Kenyan..... hahaha
 
I just love my country so so much na najivunia kuwa Mkenya.
Asante mekatelili kwa picha hizo murwa

happy mashujaa dei.
 
mmh kwa kweli hapa tumeshikwa pabaya. wale wataalam wa kuporomosha matusi naona wameshikwa na butwaa
Mara nyingi nakaa pembeni ya ugomvi wa Kenya vs Tz. Leo najitokeza walau kidogo. Kama sijakosea kukielewa kiingereza cha post, mtoa mada hajataka tuangalie upande wa pili (slums) ili kuipa balance na mashiko mada hii. Walau angeruhusu, ningeomba wao wenyewe kwa roho safi, kwa ajili ya kuwekana sawa tu, waweke picha ya ile slum yao ya katikati ya jiji.
Kwa upande mwingine, sikatai kabisa kwamba Kenya kwa mipango miji wametuzidi kwa mbaaali, ila kwa majengo/jengo moja moja hawajatuacha kiivyo. Hata sisi hapa bongo kuna pics utajiuliza ni bongo kweli au mamtoni? Ngoja wenye picha waje!
 
co za wakenya ni za wawekezaji wa nje na wazungu wanaoishi kenya, tanzania's best places are for tanzanians that why we are proud of our natural environment that passes all these pics!
 
co za wakenya ni za wawekezaji wa nje na wazungu wanaoishi kenya, tanzania's best places are for tanzanians that why we are proud of our natural environment that passes all these pics!

okay...nakuskia mwenzangu.Sio za wakenya.....nashangaa sana mbona hao wawekezaji hawawekezi bongo wanakuja kenya.Hakuna kitu kibaya kama kufumbia macho ukweli(self denial) ukidhani utakuondokea.Nakueleza waziwazi kuwa hizo nyumba ni za wakenya na ni kionjo tu.Hat usipokubaliana nami it doesnt change the fact.Tembea kenya mwenzangu bongo kweli imekufumba macho.
 
the bad thing is that you don't know the difference between having nice buildings in a bad country and having poor buildings in a good country and amnot ashamed to say you guys are the ones who walk across posta(bongo)..watching the tall buildings and then saying..." wow! we got such a nice country" while the same night you are sleeping na mbu wanakung'ata plus not sure if you will wake up healthy! i think if the guy meant what he said he should have said that lets post our poor houses and then compare! thats because most of us are poor (even you kenyans)....by the way keep enjoyig peoples buildings but remember sooner or later chaos are coming in kenyan elections (worse than Tz), rushwa ndo usiseme, ubaguzi, maskin ndo ike bongo 2...i dont get your point guys
 

maumivu yakizidi, pata ushauri wa daktari!
 
7700
maumivu yakizidi, pata ushauri wa daktari!

Touché KShaka, laughable is it not? They are oblivious to the reality and seem eager to contort and pour vitriol on KE. Even a thread with a goal as clear as this one is met with the scoffing poster that has conveniently suspended disbelief. I am tempted to make a mockery of the recycled pictographs. Dilapidation and retrogressive policies captured on film, but you know the adage-of beauty and beholders. Nairobi and other Kenyan cities continue to impress! Moving forward!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…