mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
hapa hakuna lolote!
Wote ni watu maskini wa akili na matendo, kila mmoja wenu akimtumikia mkoloni-mweusi kwa namna na njia tofauti tofauti.
Kwamba dar au nairobi is more beutiful, sijui planned, sijum slumy yaani inakera na kutia hasira.
Cha msingi kwanini tusijiulize kwamba wenzetu ambo pengine tulikuwa sawa au pengine tuliwazidi kipindi cha uhuru lakini leo wana maendeleo makubwa katika nyanja za elimu, demokrasia, uchumi n.k. Swali ni kwamba kwa nini wao wamepiga hatua mbele na sisi tuko nyuma?
Mnaanza oh eti sijui sisi tuna mji mzuri mara ninyi mna slums sana.........
Huku hakuna namna bora ya kuelezea zaidi ya kusema ni kufiliska kimawazo!
TATIZO NI SI SI Ni M!!!