Kenyan & Tanzanian Surburbs

Makanyaga
Ila watu wasije wakawa wanaupload picha zingine humu wanasema ni za Kenya kumbe ni za Rotterdam au The Hague. Haya maghorofa mbona yanafana na ya huko? Sijawahi kufika Nairobi
Amini usiamini, hakuna picha za Netherlands hapa. Angalia namba plate za magari kwenye picha or maybe unafaa ufike Nairobi kidogo ujionee.:smiling:
Like I said, haya ni baadhi tu ya mamia/maelfu (who knows). Muda tu ndiyo hauniruhusu kuweka Apartments zaidi.

APARTMENT LIVING NAIROBI - PART II
 
ni kweli hapa ni Nairobi!
But what about, Kibera, Mathare, Waithaka, Kawangware, Kamkunji, Kayole, etc?
 
ni kweli hapa ni Nairobi!
But what about, Kibera, Mathare, Waithaka, Kawangware, Kamkunji, Kayole, etc?

We are aware of our challenges and I urge you to exercise the power to read what this thread is about! This is an opportunity to showcase your country and all you can think about is Kibera?
 
MEDINA PALMS- WATAMU, KENYA

















construction stage...



Medina Palms Luxury Ocean Residences are now nearing completion.

These exclusive beachfront residences for sale comprise: 2 Luxury Ocean Villas, 8 Beach Villas, 2 Ocean View Lodges, 16 Penthouses and 22 Apartments, have been designed in a contemporary style with features and fittings for today's sophisticated home owner and traveller. Located within a secure gated community and with private access to the protected waters of Watamu National Marine Park where the warm turquoise waters of the Indian Ocean, provide world-class deep sea fishing, scuba diving, kite surfing and many other exciting water sports for all ages.

Recently voted as the Best Development in Kenya, Medina Palms is a ground-breaking new destination which is setting exceptional standards for boutique style luxury accomodation , unparalleled on the Kenya Coast.

Medina Palms | Indian Ocean Holiday Homes and Kenya Property Investment
 
NDIDA asante sana tuko pamoja!
"watani" wamezoea kufikiria bongo ya miaka ilee..mambo yanabadilika tena haraka sana!
Asante kwa mapicha ya msasani mwana!
Big up my "brother".:music:
"Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"
 
Sasa watz tutatum manzese au?!!n h ha ha tukbali wakenya wako juu sana sana
 
Ndinda tembelea maeneo ya Tegeta na Bahari beach uongeze picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…