Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
- Thread starter
- #601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini usiamini, hakuna picha za Netherlands hapa. Angalia namba plate za magari kwenye picha or maybe unafaa ufike Nairobi kidogo ujionee.:smiling:Makanyaga
Ila watu wasije wakawa wanaupload picha zingine humu wanasema ni za Kenya kumbe ni za Rotterdam au The Hague. Haya maghorofa mbona yanafana na ya huko? Sijawahi kufika Nairobi
ni kweli hapa ni Nairobi!
But what about, Kibera, Mathare, Waithaka, Kawangware, Kamkunji, Kayole, etc?
Sasa watz tutatum manzese au?!!n h ha ha tukbali wakenya wako juu sana sana
Ndinda tembelea maeneo ya Tegeta na Bahari beach uongeze picha.NDIDA asante sana tuko pamoja! "watani" wamezoea kufikiria bongo ya miaka ilee..mambo yanabadilika tena haraka sana! Asante kwa mapicha ya msasani mwana! Big up my "brother".:music: "Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"