Dar_Millionaire
JF-Expert Member
- Aug 6, 2008
- 227
- 86
Mekatilili Dar es Salaam naona hakuna watu wenye muda wa kupita pita vitongojini kupiga picha majumba ya watu. Ukipenda kuona madude makali yaliyopo huku njoo utembee.
Mkuu, hiyo Eco village is a major project.. congrats on that.. pia sisi tuko na chapachula village, Naivasha, hiyo nayo si utani.. natumia simu nikifika ofisini nitapost hizo picha hapa.Smatta hiyo ya Athi bila shaka inalipwa na ile ya South Beach Residences. Halafu kuna kitu hatari kimeshaanza kunyanyuliwa. Hii itakuwa ni knock out punch to Nairobi. Checki 1. Mh Rais azindua rasmi WESTADI nchini Uingereza - YouTube 2. DEGE Eco Village 3. https://www.facebook.com/photo.php?fbid=737072616333223
Smatta hiyo ya Athi bila shaka inalipwa na ile ya South Beach Residences.
Halafu kuna kitu hatari kimeshaanza kunyanyuliwa. Hii itakuwa ni knock out punch to Nairobi.
Checki 1. Mh Rais azindua rasmi WESTADI nchini Uingereza - YouTube
2. DEGE Eco Village
3. https://www.facebook.com/photo.php?fbid=737072616333223
Huyu architect wa national housing should be fired. Sijaona nyumba tanzania. Creativity zeroo!!
Knock out punch?! As much as this is a brilliant idea and am in love with it, but Unless Tatu city and the likes never become a reality then and only then can you talk about knock out punches
aminiusiamini Hizo ni nyumba za bei nafuu. Yaani kama zile za NHC Magomeni miaka ya 60. Kwa hiyo kabla ya kufura hebu tafiti bei ya hizo nyumba na ufanye mlinganyo na za bei hiyo kwingineko (mfano Kenya) huwa zinakuwaje.Huyu architect wa national housing should be fired. Sijaona nyumba tanzania. Creativity zeroo!!
Sijaelewa mpaka leo serikali inan'gan'gania mambo like housing etc kwanini wasitafute watu binafsi?? Lini tutaelimika. Serikali cant do business
The king.
Calm down hydrogen Ukitaka michoro hata sie tunayo. Tuna Kigamboni City, tuna Kibamba City. Kule Tanga tuna Pongwe City. Arusha nako kuna michoro michoro nilishaiona.
I mentioned Dege Village as a knock out punch because I am sure it will be built. The undertaker NSSF is a credible financier. And as you can see as we speak the buildings are taking shape.
aminiusiamini Hizo ni nyumba za bei nafuu. Yaani kama zile za NHC Magomeni miaka ya 60. Kwa hiyo kabla ya kufura hebu tafiti bei ya hizo nyumba na ufanye mlinganyo na za bei hiyo kwingineko (mfano Kenya) huwa zinakuwaje.
Soko letu ni kubwa linatosha serikali na watu binafsi. Kama una hela njoo ujenge nchi. Kuna demand kubwa ya nyumba. In fact NHC miradi yao wanafanya kwa ubia na watu binafsi.
Au unadhani kuna sehemu yoyote duniani ambako serikali hazifanyi biashara?
MEDELI DODOMA TANZANIA STILL U/C
wabe wabe!!! wabongo mupo :wave::wave:? naona mupo, bandikeni bandikeni!! + 1,000!!