Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenyan & Tanzanian Surburbs

Mekatilili Dar es Salaam naona hakuna watu wenye muda wa kupita pita vitongojini kupiga picha majumba ya watu. Ukipenda kuona madude makali yaliyopo huku njoo utembee.
 
Last edited by a moderator:
Runda-Kenya

1395054077_613739973_2-Pictures-of--Beautiful-5-bedroom-house-plus-2sqs-for-sale-in-Runda.jpg

1357387403.jpg
 
Mekatilili Dar es Salaam naona hakuna watu wenye muda wa kupita pita vitongojini kupiga picha majumba ya watu. Ukipenda kuona madude makali yaliyopo huku njoo utembee.

Mkuu nimeishi Bongo miaka mingi sana, ni nyumbani hapa lakini tukisema tu ule ukweli, upande wa real estate bado sana ukilinganisha na Kenya.. Angalia hapo juu Green Park Athi River, hiki ni kitongoji cha Nairobi (outskirts), na unaona jinsi ilivyo pangwa na nyumba kutengenezwa. Mgala muue na haki umpe aise.
 
Last edited by a moderator:
Smatta hiyo ya Athi bila shaka inalipwa na ile ya South Beach Residences. Halafu kuna kitu hatari kimeshaanza kunyanyuliwa. Hii itakuwa ni knock out punch to Nairobi. Checki 1. Mh Rais azindua rasmi WESTADI nchini Uingereza - YouTube 2. DEGE Eco Village 3. https://www.facebook.com/photo.php?fbid=737072616333223
Mkuu, hiyo Eco village is a major project.. congrats on that.. pia sisi tuko na chapachula village, Naivasha, hiyo nayo si utani.. natumia simu nikifika ofisini nitapost hizo picha hapa.
 
Last edited by a moderator:
Smatta hiyo ya Athi bila shaka inalipwa na ile ya South Beach Residences.

Halafu kuna kitu hatari kimeshaanza kunyanyuliwa. Hii itakuwa ni knock out punch to Nairobi.

Checki 1. Mh Rais azindua rasmi WESTADI nchini Uingereza - YouTube
2. DEGE Eco Village
3. https://www.facebook.com/photo.php?fbid=737072616333223

Knock out punch?! As much as this is a brilliant idea and am in love with it, but Unless Tatu city and the likes never become a reality then and only then can you talk about knock out punches
 
Last edited by a moderator:
Knock out punch?! As much as this is a brilliant idea and am in love with it, but Unless Tatu city and the likes never become a reality then and only then can you talk about knock out punches

Calm down hydrogen Ukitaka michoro hata sie tunayo. Tuna Kigamboni City, tuna Kibamba City. Kule Tanga tuna Pongwe City. Arusha nako kuna michoro michoro nilishaiona.

I mentioned Dege Village as a knock out punch because I am sure it will be built. The undertaker NSSF is a credible financier. And as you can see as we speak the buildings are taking shape.
 
Last edited by a moderator:
Huyu architect wa national housing should be fired. Sijaona nyumba tanzania. Creativity zeroo!!
Sijaelewa mpaka leo serikali inan'gan'gania mambo like housing etc kwanini wasitafute watu binafsi?? Lini tutaelimika. Serikali cant do business
The king.
aminiusiamini Hizo ni nyumba za bei nafuu. Yaani kama zile za NHC Magomeni miaka ya 60. Kwa hiyo kabla ya kufura hebu tafiti bei ya hizo nyumba na ufanye mlinganyo na za bei hiyo kwingineko (mfano Kenya) huwa zinakuwaje.

Soko letu ni kubwa linatosha serikali na watu binafsi. Kama una hela njoo ujenge nchi. Kuna demand kubwa ya nyumba. In fact NHC miradi yao wanafanya kwa ubia na watu binafsi.

Au unadhani kuna sehemu yoyote duniani ambako serikali hazifanyi biashara?
 
Last edited by a moderator:
Calm down hydrogen Ukitaka michoro hata sie tunayo. Tuna Kigamboni City, tuna Kibamba City. Kule Tanga tuna Pongwe City. Arusha nako kuna michoro michoro nilishaiona.

I mentioned Dege Village as a knock out punch because I am sure it will be built. The undertaker NSSF is a credible financier. And as you can see as we speak the buildings are taking shape.

I feel you bra just don't want to jump guns here, I know Tatu city is struggling with debts right now and for sure we are not immune to the same given the span of completion of the said dege project. All am saying In a nutshell, is lets wait for the last loud laugh!
 
Last edited by a moderator:
aminiusiamini Hizo ni nyumba za bei nafuu. Yaani kama zile za NHC Magomeni miaka ya 60. Kwa hiyo kabla ya kufura hebu tafiti bei ya hizo nyumba na ufanye mlinganyo na za bei hiyo kwingineko (mfano Kenya) huwa zinakuwaje.

Soko letu ni kubwa linatosha serikali na watu binafsi. Kama una hela njoo ujenge nchi. Kuna demand kubwa ya nyumba. In fact NHC miradi yao wanafanya kwa ubia na watu binafsi.

Au unadhani kuna sehemu yoyote duniani ambako serikali hazifanyi biashara?

+1,000! kuna mtu alitaja kwamba nyumba hizo ni za bei nafuu na kwangu mimi bado nawapa waTZ dole juu kwa kazi nzuri....hizo nyumba bado zina mpangilio mzuri, hazikujengwa kiholela kama kawaida ya waafrika.
 
MORE ABOUT KIGAMBONI LOW COST HOUSINNG CLICK THE LINK BELOW

https://www.facebook.com/nhctz/photos_stream

Back
Top Bottom