Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitusuru..
This is a reminder that these houses,and hoods are in Kenya and not Dubai,or New york...
Haha...i have never been in china ila najua hiyo habari aroo.Kwa hiyo usidhani ni kitu kubwa sana ktk huo ubishi wenu.Dunia bado inafahamu kuna CHINESE as a language.Ila ina china Mandarin ndio inabeba flag.Sidhani kk kuna haja ya kubisha mtu wa nje akisema kikuyu is a Kenyan language.Au mbishi wewe unaongea Kikenya( wakati unaongea kijaluo).Au nikisema wakenya wanapenda sifa sana wakati wengi wanavaa suti ila magazeti na maboksi ndio hutumia kuchamba(nikimaanisha jaluo).Hii ni too machi details inayoweza poteza maana.You are running away from the issue at hand, you claimed the S50 is not called the S50 and that highways in China are not numbered and I have ample evidence! You are yet to provide evidence for your wild assertions and are jumping from issue to issue in an effort to save face! The fact that you did not know that Chinese Highways are numbered and that "Chinese" is not a language makes it clear that you have never been to China. If so, provide the evidence for the name you have chosen for the highway. Are you ready to admit you were wrong?A simple challenge, let us produce the Chinese visa pages from our passports. I can say without a reasonable doubt that you have never left Tanzania.![]()
wewe nunaweza kuwa mkenya mjinga kuliko wengine wote.Haya majengo kil amahali duniani yanajengwa.Na hata Tz nje ya Dar es Salaama yanajengwa sana.Pengine ni arrangement na wingi tuu.sasa km haya ndio una dhani ni flag careers utakuwa mwehu kabisa.Nairobi ina majengo mengi,Dar ina mengi marefu na mafupi.Apartments , etc.Mengine marefu yanathamani ndogo kuliko mafupi.Ndio maana Paris na London zipo juu kuliko macau, hongo kong pamoja na kwamba hongo sehemu kubwa ya mji mkuu ni skycrapers.Hii inaonyesha Obsession ya wakenya inapokuja suala la TZ.hayo majengo hayawezi shika chart hata miji km arusha,mwanza, etc.Na usitegemee kuwa unaweza jenga wengine wasijenge.Leo Dar ikiwa na hili Kesho nairobi inalo and vice versa.Dar wana stadium nzuri, kesho Kenya nao wanakuwa nazo nyiingi,TZ nao watajenga.Ndio maana hata akili za watz na wakenya hazitofautiani sana.Na kipimo chao ni comparison.Km huamini neda daa kapoteze hata week tembea kidogo,mjini na nje,Halfu rudi Nairobi.Na wa Dar nae afanya hivyo fanya ktk miezi 2 utakuta tofauti kila siku na cha kushangaa kila upande.

KIambu
![]()

Whoa, hii nice kiswahiri imeandikwa kwa lahaja ya ugunja au mafia? Ati Hongo Kong?
Which project? Impressive.
huna tofauti na maskini anayesema matajiri hawalali kwa kukosa amani wakati hajawai kuwa tajiri na kuexperience first hand utajiri ulivyo. huko ni kujifariji ili angalau arizike na hali yake.Yaani we huna lakuongea ,hivi wakenya wanafaida gani na nchi yao maana wanaishi kwa kufanya vibarua kwenye mashamba makubwa ya ma( setla) weusi kama akina odinga ,bora hao wenye sq 100 za bongo maana yupo kwake.pia siku zenu za kutamba zimekaribia kwisha maana speed ya wabongo kwa sasa nikubwa ukiangalia na miradi mikubwa inayoendelea .