Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Mchechu anapiga kazi kupendezesha miji yetu ila mipumbavu inaishia kumpikia majungu eti analipwa Mshahara mkubwa kulingana na kazi anayoifanya... Mnataka kuendelea kuishi kwenye zama za kale za mawe nyie watanganyika?? Ona sasa thread nzima hamna picha ya kuvutia ya kupost, na project za NHC zikiisha zote ndio mtapata cha kupost hapa...