Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
very beautiful and tranquilNaivasha,
.
.
Mbona picha Nzuri zipoMchechu anapiga kazi kupendezesha miji yetu ila mipumbavu inaishia kumpikia majungu eti analipwa Mshahara mkubwa kulingana na kazi anayoifanya... Mnataka kuendelea kuishi kwenye zama za kale za mawe nyie watanganyika?? Ona sasa thread nzima hamna picha ya kuvutia ya kupost, na project za NHC zikiisha zote ndio mtapata cha kupost hapa...
Kiukweli dar inakuja kwa kasiEco dege village, kigamboni, wacha na Mimi Leo nitume picha..
Zuwenna kwakweli hizo ni baadhi ya projects, ila kuna hundreds of projects hapa DSM,Kiukweli dar inakuja kwa kasi
safi sana
please stop posting pictures of renders....post pictures of suburbs that have already been built thats what we are intreasted inDar es Salaam Makutano National trading center, hii ni project ya nhc, ambayo itakuwa ni tallest building in Africa, 60f (zaidi ya Carlton center RSA)