Oya, hizo hadithi za mpesa na sijui EABL fungueni post nyengine mweke kule, hapa tunataka picha tu wala si majibizano na mashindano, tafadhali tumheshimu mtoa mada na tuzidi kuweka picha kama awali. Mkiendelea hivi hii thread itafungwa kisha wengine wetu tunaoifurahia tutakua tumekosewa, heshima mbele wakuu.
Hapa na kinyongo cha wa TZ hawaezi heshimu mtoa mada juu ni mkenya lakini nina forum kingine kizuri kuliko hizi kimejaa real estate za kote nchini c nairobi peke na zimepigwa vyema na ma professional
Photographers
Check this forum that has 147 pages of kenyan engineering works Kila Page iko na more than 30 photos
Wa Nigeria walipinga ikafika 20pages wakanyamaza
Hii ni Page 147 bt anzia Page 1
www.nairaland.com/51356/nairobi-photos-kenya-beautiful-east/147