I always find this type of comment rich with hypocrisy.When it comes to your own you ALWAYS wanna show the best but when its your jirani you wanna overlook the same emphasize and highlight their darkspots. Wacha unafiki .Hizo ni za mabepari na wanaweza kuishi humo ni wale wa kipato cha juu. Wananchi wa kawaida 90% wanaishi maisha duni na kwenye nyumba za madebe- siyo mabati. Ndiyo maana huyo ameonyesha Nairobi, Nakuru, na Mombasa tu ambako kuna vivutio kwa wawekezaji. Aonyeshe Kisumu, Machakos, Kisii au Kakamega utawahurumia!
Supermoon In Dar es salaam
Supermoon In Dar es salaam