nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
Migaa ,kiambu county
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni aibu kutuonyesha mtaa umechakaa...estate gani kumeparara ivoMakonde-mbezi Dar ,New bagamoyo road View attachment 760999
Hujafika apo mnaonyesha nyumba ziko kila mahal Dar mnaziita estate ucheni ufalaHuoni aibu kutuonyesha mtaa umechakaa...estate gani kumeparara ivo
Muonekano mzuri wa city zero...Sehemu zingine lami kila kona hii ni oysterbay darView attachment 761004View attachment 761005View attachment 761006
Kuparara ukimaanisha nn huelewekiMuonekano mzuri wa city zero...
kuparara tu kama mombasa.
Kuparara. Dar imeparara Sana Kwa estates.Kuparara ukimaanisha nn hueleweki
Sioni tofauti na TandaleSehemu zingine lami kila kona hii ni oysterbay darView attachment 761004View attachment 761005View attachment 761006
Hata mimi nimeshindwa haoni aibu. . .. Wabaki tu na zile picha zao za cbd na kariakoo😀😀😀😀Huoni aibu kutuonyesha mtaa umechakaa...estate gani kumeparara ivo
Dar ni CBD Na Kariakoo. Ukitoa hizo hamna tofauti na Mogadishu.😀😀😀😀Hata mimi nimeshindwa haoni aibu. . .. Wabaki tu na zile picha zao za cbd na kariakoo😀😀😀😀
Kutoka nione i picha nilijua hawa watu ni kupuuza alafu wapuzi kina mulisaa ukiwashika na i wanakwambia hapo ni kigamboniDar ni CBD Na Kariakoo. Ukitoa hizo hamna tofauti na Mogadishu.😀😀😀😀
Sio tu Nairobi kiufupi Kenya nzima,walks has tarantula zamani huku bongo hata hizi dream house zetu za kufa na kupona tumeshindwa kuzijenga japo kwa mpangilio,kifupi ni aibu tupiNairobi wapo mbali kwenye Nyumba na suburbs Za ukweli tupambane nao kwengine.