tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni nini sasa inakaa eastlands..leta eastates za maana
kwani suburbs zenu zote zinapatikana along the ocean...Dar suburbs ni kiboko yaoView attachment 763405View attachment 763406
Uyo muuache nime mpa example moja hapo ya runda ona vitu ananiletea ati hizo ndio suburb zao😀😀😀😀😀kwani suburbs zenu zote zinapatikana along the ocean...
ni nini ya maana iko upande ya ndani ukitoka cbd mbali na ocean?
Haha wakenya bana[emoji38][emoji38]simlisema mnataka picha ninyi ...nasio zote ni karibu karibu bahar sema unamawengekwani suburbs zenu zote zinapatikana along the ocean...
ni nini ya maana iko upande ya ndani ukitoka cbd mbali na ocean?
kwani suburbs zenu zote zinapatikana along the ocean...
ni nini ya maana iko upande ya ndani ukitoka cbd mbali na ocean?
Naomba uniletee nyumba kama izi sio i uchafu unaleta hapa ati suburbs....Highland villas Mikocheni AView attachment 763387View attachment 763388View attachment 763389View attachment 763390View attachment 763391
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Izo ni za middle class sasa sinatuma zote auHii ni nini sasa inakaa eastlands..leta eastates za maana
Shida yako ni moja mi nakuletea picha mzuri we unaleta vumbi, sasa ukitaka izi ziko lakini ni za kuchafua uzi aisee kama hizo hapo juu, naomba tusichafue uziMikocheni...View attachment 763824
Naomba unipe picha kama izi, myonge mdhulumu lakini haki yake umpe😀😀😀😀
Quality ya picha ndio imekuzingua ila apo Ni pazur sanaView attachment 763826 View attachment 763836 View attachment 763837 View attachment 763838 View attachment 763862
Shida yako ni moja mi nakuletea picha mzuri we unaleta vumbi, sasa ukitaka izi ziko lakini ni za kuchafua uzi aisee kama hii hapa chini
Apana izo ni za kawaida ukilinganisha na zenye naekaQuality ya picha ndio imekuzingua ila apo Ni pazur sana