Wewe na Wakenya wako wote mna matatizo, hayo majumba mnayoyaposti humu hakuna Mkenya anaishi humo, Wakenya wao walinzi na wafua nguo tu kwenye hayo majumba, sasa utakuwa mtu wa ajabu kukaa na kusifia kitu ambacho hakikunufaishi wewe au jamaa yako bali kinamnufaisha mgeni, mentality ya aina hiyo utaiona kwa Waafrika tu Dunia hii!
sasa wewe jengo linakusaidia nini? si ajabu hata mlinzi akikuona unapiga hizo picha akakukamata akakufananisha na mwizi, sasa hicho ni kitu cha kujivunia kwa mtu mwenya akili?