Full Moon
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 346
- 122
Ile kenyata inaitwa nadhani inaungana na ile barabara ya Obey kwenda Coco beach.
ooh ahsante..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kenyata inaitwa nadhani inaungana na ile barabara ya Obey kwenda Coco beach.
NYUMBA 100 zimejengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoani Arusha ili kukidhi mahitaji ya ongezeko la wakazi na kukua kwa kasi kwa Jiji hilo la kitalii lililopo mpakani mwa Tanzania na nchi jirani ya Kenya.
Idadi hiyo ya nyumba ni kati ya nyumba za makazi 98 zilizopo katika eneo la Levolosi na Meru ikiwa ni mpango wa Taifa wa shirika hilo kujenga jumla ya nyumba 15,000 kwa kuanzia mwaka 2010 - 2015.
Akizungumza juu ya mkakati wa shirika hilo kuborsha makazi ya wakazi wa jiji hilo Meneja wa mkoa wa NHC mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika alisema kuwa asilimia 30 ya nyumba hizo zitapangishwa na nyingine zitauzwa kwa
wananchi kulingana na mahitaji na hali zao za kiuchumi.
Source: NHC na uwekaji makazi bora katika jiji la Arusha - wavuti.com




walewale waosha vinywa, kwa hiyo unaona hiyo sio Surburb ? tena kama una macho umeambiwa ni LOW COST HOUSING ni nini kinakufanya uone hiyo picha ni embarrassing ?:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
That housing complex looks more like a military camp than a civilian residence. No paved streets to speak of within the houses. Who planned it?
kunaa bias sanaa kwenyee hizi pichaaa,ukichekii pichaa za kenyaaa nyingi zimepigwa sehemu kwenye makaziii boraaaa,hata nairobii kunaa mitaa mibayaaa,kama konaa mbayaaa...pichaa nyingi za tanzania azija chukuliwaa kwenye best location.sithani kamaa alie pigaa picha arusha,hakuonaa sehemu kunaa nyumbaa na kumepangikaaaaa vizuri,mfano...njiro,moshono,soweto....tuachee kujiangushaa wenyeweeee.
Oysterbay, Dar es Salaam.
![]()