Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenyan & Tanzanian Surburbs

Hahaha!! umetisha, subiri vibao utavyopigwa na Wabongo wenzio kwa kukubali hapa Kenya tuna ujenzi uliotulia. Wao wanabisha hadi asubuhi. Afu kipindi nikiwa Dar, nilitatizika sana nikiendesha gari, maana barabara chache sana zina majina. Kuwauliza wapita njia ilikua kero zaidi maana wao wengi wanafahamu mitaa. Unakuta ukimuuliza mtu barabara kwa jina naye anakuuliza iko mtaa upi, wa Lumumba, Aggrey n.k.

unamuani huyo mkongoman aliyerudi kwao goma baada ya maisha bongo kumshinda?.kazi yao kubwa hapa dar ni kusafisha kucha na miguu ya akina mama ktk solon za kike.
 
sasa wewe shemeji yangu maina,mna kizungu gani cha kuwatisha wabongo?.kuna siku huyo mgiriama Mekatilili anayependa kukana kuwa yeye siyo mkenya,alitolewa kamasi na Kiranga ktk kizungu akaishia kudai eti ooh naanzisha thread mpya inayohusu sarufi and bla bla bla.
watz wa kizazi hiki sio wale wa kizazi cha mwalimu nyerere.acheni dharau,kizazi hiki vijana wameamka.wameenda shule na wametapakaa duniani hata huko ughaibuni.so hamna cha kututisha.

Kwa kweli kingereza mnajaribu siku hizi haswa cha uandishi lakini spoken bado kuna kazi, ila kuna wanadada kadhaa tokea mkoa wa Kilimanjaro niliwaona wanaporomosha kingereza kwa lafudhi ya kiaina pale Dar. Yaani safi.
Afu kuna jamaa wangu Mkenya, mwalimu shule fulani ya international hapo Dar, kanialika na niliwakuta watoto wanapiga kingereza freshi kama hawa wa private academies za huku. Hivyo kuna kizazi cha Bongo kinakuja na kweli kama Kenya tusipoinua game yetu mapema, itakula kwetu.
Jamaa wako huyu Askari Kanzu siku zote hukomaa na spelling mistakes za Kingereza, sijamwona akithubutu paragraph kadhaa jinsi mnavyofanya nyie, hujificha ndani ya sentensi moja tu, na akiandika kwa Kiswahili anajaribu mistari kadhaa, bila ufahamu hata hicho Kiswahili bado tunaweza mtoa makamasi tu. Kuongea Kiswahili huko vijiweni Bongo hakumfanyi awe shupavu kiufasaha.
 
Katika hili mimi nimeona kwamba ni kweli kenya wameendelea katika ujenzi wa makazi yaliyo bora , that's a fact.
Na sioni haja ya haya malumbano ni fundisho tosha kwetu lakini na wakenya wasibweteke sana hadi kutudharau kiasi hiki hapa JF tunaelimishana tu wanajamvi
 
Ukiandika kwa Kiswahili naona huogopi, unajishaua sana, yaani unajaribu mistari kadhaa, kingereza tu ndio tatizo, huwa hata paragraph huwezijimudu. Halafu hata Kiswahili, naona una matatizo na "alama ya kituo", ama punctuation mark.

Hahaha, easy man!
 
Kwa kweli kingereza mnajaribu siku hizi haswa cha uandishi lakini spoken bado kuna kazi, ila kuna wanadada kadhaa tokea mkoa wa Kilimanjaro niliwaona wanaporomosha kingereza kwa lafudhi ya kiaina pale Dar. Yaani safi.
Afu kuna jamaa wangu Mkenya, mwalimu shule fulani ya international hapo Dar, kanialika na niliwakuta watoto wanapiga kingereza freshi kama hawa wa private academies za huku...
Wewe kinyago acha kasumba za kikoloni. Hizo zimepitwa na wakati. Hata hao mabwana zako waingereza watakucheka wakikusikia!
 
an engineer?!,may ass...my be a lower grade engineer that builds mere and worthless showboats for kenya to impress tanzanians.

Kimweri jaunts you like nuts.it will come a time you will expose even the colour of the bikini panty you wore yersterday.na bado,huu ni mwanzo tu.hahahahaha.

You are embarrassing yourself. Why do you have to resort to childish insults when cornered?

I am still waiting for the evidence from your friend.

Katika hili mimi nimeona kwamba ni kweli kenya wameendelea katika ujenzi wa makazi yaliyo bora , that's a fact.
Na sioni haja ya haya malumbano ni fundisho tosha kwetu lakini na wakenya wasibweteke sana hadi kutudharau kiasi hiki hapa JF tunaelimishana tu wanajamvi

Fuatilia kwa makini sana uzi huu, tulianzisha kwa ajili ya kubandika picha za makazi, Wabongo badala ya kubandika za kwao wakaja na matusi na kejeli, wakasahau fujo ni chakula cha Kikenya. Sasa watulie kimya na ku-post picha nzuri za huko. Haswa pale Ocean road niliona nyumba nzuri sana, wazipige picha na kuanika hapa, hatutakua na ugomvi.
 
Southlands-Nai

6038727207_86ee62655c_b.jpg
 
Fuatilia kwa makini sana uzi huu, tulianzisha kwa ajili ya kubandika picha za makazi, Wabongo badala ya kubandika za kwao wakaja na matusi na kejeli, wakasahau fujo ni chakula cha Kikenya. Sasa watulie kimya na ku-post picha nzuri za huko. Haswa pale Ocean road niliona nyumba nzuri sana, wazipige picha na kuanika hapa, hatutakua na ugomvi.

sasa natangaza kabisa.last week but one nimenunua canon EOS 5D mark 111,next week najaza mafuta ktk gari na naingia mtaani mimi mwenyewe kupiga picha za maeneo ya kuvutia ndani ya mji wa dar na kuzileta hapa jf ktk thread hii.naomba mjipange.mkuu NDINDA naingia rasm vitani kukupa backup tumeliza hii hadithi.
 
Last edited by a moderator:
Halafu kadoda11 ufahamu sisi huwa tunazibomoa zikijengwa eneo lililotengewa barabara, hata kama ni jengo la kifahari aje, nyie kwenu bomoa bomoa ni uswazi tu.

DNDiamondPark2105l.jpg
 
hata sisi tunapo fanya upanuzi wa barabara huwa tunabomoa pia.haijalishi ni yumba yenye thamani namna gani.futilia miradi yote ya upanuzi wa barabara nchini,utagundua huwa inaacha vilio na majonzi kwa wale wavamizi wa maeneo yaliyo pimwa kuputisha barabara.hatuja fikia hatua ya kuvunja majumba ya watu mitaani ili kujenga the so called suburbs cos bado tz ina mapori na ardhi ya kutosha kufanya hivyo.hicho ndio kitu kinacho fanyika hivi sasa nchini.
 
Last edited by a moderator:
an engineer?!,may ass...my be a lower grade engineer that builds mere and worthless showboats for kenya to impress tanzanians.

Kimweri jaunts you like nuts.it will come a time you will expose even the colour of the bikini panty you wore yersterday.na bado,huu ni mwanzo tu.hahahahaha.
kadoda11 mtazame na huyu Engineer mwengine anavyoumbuka.

Sipendi kudharau watu , na mara chache sana nitaongea kuhusu qualifications zangu au uwezo wangu binafsi, ila umefika sasa wakati wa ku-eliminate noise from useful signal.
Its been many years since i have gone through this path,but i take it whenever necessary.
Sasa ndungu @NairobiWalker Ili nijue naongea na Engineer Genuine na sio Kishoka, au faker and wannabe, kindly provide me with a simple screenshot of the page after you click on Book Online. Mind you only registered Engineers with the IET can go through that page, if you are a non member all you would get is the request for Logging in, and guess what, you would need 4 good years of Engineering Education from a Qualified Engineering School.

Security of Communications in Road Transport Seminar - IET Conferences

au kama hiyo itakuwa kazi sana, naomba unitajie ticket ya mtu mmoja Individual IIA na ya watu 12. (kama utachagua option hii, naomba unitajie sehemu ya event information kuna vipengele vingapi.na kipengele cha mwisho kinahusu nini( hakipo kwenye downloaded form, ila kipo kwenye online form behind membership paywall)

If you are not even the IET member then we are really not in the same league,and i would suggest you deal with your fellow mafundi mchundo hapo Kibera. Maana nitakuwa napoteza muda na wewe, kama utaweza hii simple test then karibu London next month, i will pay for you the fee, since you are a road expert the theme on this conference will suit your ante.

Ndugu zangu watanzania NDINDA Gezaulole Askari Kanzu na wengine, hawa wapiga kelele wasiwasumbue kabisa, hamna kitu humu.

*angalizo, kwa kuwa nimechoka kuumbua watu humu ndani, tafadhali usichukue bei za kwenye download form,kwani sio nilizouliza, na nilizouliza kwenye form hazipo.
Karibuni mmuone Injinia wenu wa vichochoroni Mekatilili, waltham, lawmaina78
 
kadoda11 mtazame na huyu Engineer mwengine anavyoumbuka.

Sipendi kudharau watu , na mara chache sana nitaongea kuhusu qualifications zangu au uwezo wangu binafsi, ila umefika sasa wakati wa ku-eliminate noise from useful signal.
...... Mekatilili, waltham, lawmaina78

I see you are back from you hiding place. I have no idea what you are spouting but do not think I have forgotten you! Evidence please!
 
Unaniomba evidence gani wewe "mkalimani wa mandela", wakati hata nikikuongelesha putonghua ya kawaida tu unatoka bila bila? sasa hivi nimeamua kwenda kwa mwendo wa chujio. Kama hufiki vigezo nakutupia kapuni baada ya kuku-expose.
Sasa hivi namfanyia vetting ndugu yako NairobiWalker, unapass kwanza vetting ndio tunaendelea na majadiliano, mambo ya kuongea na vitineja vilivyoiba laptop za wazazi wao nani anataka?
kadoda11, hivi huyu alishajieleza semseter 2 beijing ziliishia wapi?
 
Last edited by a moderator:
kadoda11 mtazame na huyu Engineer mwengine anavyoumbuka.

Sipendi kudharau watu , na mara chache sana nitaongea kuhusu qualifications zangu au uwezo wangu binafsi, ila umefika sasa wakati wa ku-eliminate noise from useful signal.
Its been many years since i have gone through this path,but i take it whenever necessary.
Sasa ndungu @NairobiWalker Ili nijue naongea na Engineer Genuine na sio Kishoka, au faker and wannabe, kindly provide me with a simple screenshot of the page after you click on Book Online. Mind you only registered Engineers with the IET can go through that page, if you are a non member all you would get is the request for Logging in, and guess what, you would need 4 good years of Engineering Education from a Qualified Engineering School.

Security of Communications in Road Transport Seminar - IET Conferences

au kama hiyo itakuwa kazi sana, naomba unitajie ticket ya mtu mmoja Individual IIA na ya watu 12.

If you are not even the IET member then we are really not in the same league,and i would suggest you deal with your fellow mafundi mchundo hapo Kibera. Maana nitakuwa napoteza muda na wewe, kama utaweza hii simple test then karibu London next month, i will pay for you the fee, since you are a road expert the theme on this conference will suit your ante.

Ndugu zangu watanzania NDINDA Gezaulole Askari Kanzu na wengine, hawa wapiga kelele wasiwasumbue kabisa, hamna kitu humu.

*angalizo, kwa kuwa nimechoka kuumbua watu humu ndani, tafadhali usichukue bei za kwenye download form,kwani sio nilizouliza, na nilizouliza kwenye form hazipo.
Karibuni mmuone Injinia wenu wa vichochoroni Mekatilili, waltham, lawmaina78

Dude stop yapping. Am waiting for you to tell me if you understand the meaning of the structure of a road. Stop playing escapist.
 
Unaniomba evidence gani wewe "mkalimani wa mandela", wakati hata nikikuongelesha putonghua ya kawaida tu unatoka bila bila? sasa hivi nimeamua kwenda kwa mwendo wa chujio. Kama hufiki vigezo nakutupia kapuni baada ya kuku-expose.
Sasa hivi namfanyia vetting ndugu yako NairobiWalker, unapass kwanza vetting ndio tunaendelea na majadiliano, mambo ya kuongea na vitineja vilivyoiba laptop za wazazi wao nani anataka?
kadoda11, hivi huyu alishajieleza semseter 2 beijing ziliishia wapi?

You have been calling for help since yesterday.

This is between you and I. You claimed that the S50 is not called the S50 and that the roads in China are not numbered, I provided maps and even pictures of the boards with the names of the the road. Show your evidence! You are claiming that you have a name for this road that even the government of China is not aware of! Provide your Evidence!

Beijing_Expwy_S50_sign_with_name.svg
 
Back
Top Bottom